Kero binafsi kuhusu wanaume kuvaa nguo za kubana

Kero binafsi kuhusu wanaume kuvaa nguo za kubana

Wanaume kuvaa visuruali vya kuwabana, inamaanisha nini? tunajua wadada huvaa vinguo vya kuwabana ili kuwaonesha wanaume maumbile yao; je, mwanaume naye huwa ana lengo lipi?

Nasema hivi nikizingatia kushamiri kwa ushoga now days! Fashion? Labda ni ya kutokea kuzimu. Kuzimu imetumia watu wa Magharibi kuichafua sana dunia. Sisi ni kuiga tu bila hata kujiuliza! Fashion?

Jesus is Lord & Saviou
Mkuu sikuhizi makanisani ndio balaa vijana wanavaa modo zile za kuweka zipu miguuni na anaimba kwaya vizuri tu. Kiufupi hii ni tabia iliojengeka kwenye jamii baada ya wazazi kutotaka kulea watoto vizuri. Na kwawale watuwazima wanaovaa mibano basi kuna tatizo sehemu.
Acha vijana wawe vijana hata wazazi wao nao miaka ya 70 walivaa tights hivyo hivyo
 
Wanaume kuvaa visuruali vya kuwabana, inamaanisha nini? tunajua wadada huvaa vinguo vya kuwabana ili kuwaonesha wanaume maumbile yao; je, mwanaume naye huwa ana lengo lipi?

Nasema hivi nikizingatia kushamiri kwa ushoga now days! Fashion? Labda ni ya kutokea kuzimu. Kuzimu imetumia watu wa Magharibi kuichafua sana dunia. Sisi ni kuiga tu bila hata kujiuliza! Fashion?

Jesus is Lord & Saviour
Sasa kama dada zao wanavaa hivyo kwanini wenyewe wasivae?
 
Nyeti zote zinaonekana, can't imagine ndio ghafla umedinda, manake hata kuweka mkono mfukoni ili uibane huwezi...hatari sana!
 
Back
Top Bottom