92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Mkuu sikuhizi makanisani ndio balaa vijana wanavaa modo zile za kuweka zipu miguuni na anaimba kwaya vizuri tu. Kiufupi hii ni tabia iliojengeka kwenye jamii baada ya wazazi kutotaka kulea watoto vizuri. Na kwawale watuwazima wanaovaa mibano basi kuna tatizo sehemu.Wanaume wa Dar mnaitwa huku, sisi wapiga kinanda Kanisani na masuruali yetu kama fuko la mashine tutasoma maoni kwa makini.