Kero binafsi kuhusu wanaume kuvaa nguo za kubana

Acha vijana wawe vijana hata wazazi wao nao miaka ya 70 walivaa tights hivyo hivyo
 
Sasa kama dada zao wanavaa hivyo kwanini wenyewe wasivae?
 
Nyeti zote zinaonekana, can't imagine ndio ghafla umedinda, manake hata kuweka mkono mfukoni ili uibane huwezi...hatari sana!
 
Nadhani ushauri uwe kwa wanaotuhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…