KERO Kero foleni Mlimani City, Dar

KERO Kero foleni Mlimani City, Dar

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

P J O

Senior Member
Joined
May 3, 2024
Posts
189
Reaction score
264
Foleni mlimani City ni kero.

Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusababisha foleni kubwa kwa magari yanayotoka Ubungo.

Foleni unaweza kukaa mpaka nusu saa wakati kuna round about ilipaswa kupunguza foleni.

Ni kero kubwa inayosababisha wengi wetu kuchelewa makazini.
 
Foleni mlimani City ni kero.

Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusabaabisha foleni kubwa Kwa magari yanayotoka Ubungo.

Foleni unaweza kukaa mpaka nusu saa wakati Kuna round about ilipaswa kupunguza foleni.

Ni kero kubwa inayosababisha wengi wetu kuchelewa makazini.
Kwa hiyo shida hapa ni huyo trafiki au nini? Nini kifanyike ili kupunguza hiyo foleni? Trafiki aondolewe ili raundi abauti itumike au iweje? 😳🤔
 
Foleni mlimani City ni kero.

Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusababisha foleni kubwa kwa magari yanayotoka Ubungo.

Foleni unaweza kukaa mpaka nusu saa wakati kuna round about ilipaswa kupunguza foleni.

Ni kero kubwa inayosababisha wengi wetu kuchelewa makazini.
Wa bongo na kulalamika lakamika hawajambo foreni gani ile hata dakika 10 haifiki, unaweza ikadhani wanajari sana mda kwamba hawapotezi mda mwingi bar na vijiweni.....
 
Kuna njia mbadala.

1. Unaweza kupita Mawasiliano (Terminal) Road ukaingia Sinza Mugabe then ukaenda zako aidha kupita Barabara ya Tandale Hadi Kawawa Road then Ally Hassan Mwinyi.

2. Pita Morogoro Road then Shekilango halafu Bagamoyo Road.

Foleni inaweza ikawa inasababishwa na dereva kutokujua njia mbadala.
 
as if wote wana magari yani😂😂ko sisi tunaopanda kwene daladala ndo tunatakiwa tusote kwenye foleni
 
Inategemea anaenda wapi.

Back
Top Bottom