KERO Kero foleni Mlimani City, Dar

KERO Kero foleni Mlimani City, Dar

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Foleni mlimani City ni kero.

Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusababisha foleni kubwa kwa magari yanayotoka Ubungo.

Foleni unaweza kukaa mpaka nusu saa wakati kuna round about ilipaswa kupunguza foleni.

Ni kero kubwa inayosababisha wengi wetu kuchelewa makazini.
Mpige picha!
 
Hiyo njia kutokea Goba ikishafika saa 1:30 Traffic wanaanza kuvuta Waheshimiwa...

Watu wanaotokea Mawasiliano/Ubungo kwenda Mwenge ni bora kutumia Mbadala mwingine tu..
 
Back
Top Bottom