Kwa hiyo shida hapa ni huyo trafiki au nini? Nini kifanyike ili kupunguza hiyo foleni? Trafiki aondolewe ili raundi abauti itumike au iweje? 😳🤔Foleni mlimani City ni kero.
Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusabaabisha foleni kubwa Kwa magari yanayotoka Ubungo.
Foleni unaweza kukaa mpaka nusu saa wakati Kuna round about ilipaswa kupunguza foleni.
Ni kero kubwa inayosababisha wengi wetu kuchelewa makazini.
Wa bongo na kulalamika lakamika hawajambo foreni gani ile hata dakika 10 haifiki, unaweza ikadhani wanajari sana mda kwamba hawapotezi mda mwingi bar na vijiweni.....Foleni mlimani City ni kero.
Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusababisha foleni kubwa kwa magari yanayotoka Ubungo.
Foleni unaweza kukaa mpaka nusu saa wakati kuna round about ilipaswa kupunguza foleni.
Ni kero kubwa inayosababisha wengi wetu kuchelewa makazini.
Ndiyo maana Wanyaki mna miguu minene Kwa sababu ya kuchapa lapa.Afu dar wilaya mpaka wilaya kutembea kwa mguu hata siyo mbali,sembuse kituo hadi kituo....acheni uvivu
Duh hebu tembea kutoka Mbagala mpaka BunjuAfu dar wilaya mpaka wilaya kutembea kwa mguu hata siyo mbali,sembuse kituo hadi kituo....acheni uvivu
wape traffic wanakuaga kama wamepewa hela yaaniKwa hiyo shida hapa ni huyo trafiki au nini? Nini kifanyike ili kupunguza hiyo foleni? Trafiki aondolewe ili raundi abauti itumike au iweje? 😳🤔
wanyaki wanahusikaje hapo🌚Ndiyo maana Wanyaki mna miguu minene Kwa sababu ya kuchapa lapa.
as if wote wana magari yani😂😂ko sisi tunaopanda kwene daladala ndo tunatakiwa tusote kwenye foleniKuna njia mbadala.
1. Unaweza kupita Mawasiliano (Terminal) Road ukaingia Sinza Mugabe then ukaenda zako aidha kupita Barabara ya Tandale Hadi Kawawa Road then Ally Hassan Mwinyi.
2. Pita Morogoro Road then Shekilango halafu Bagamoyo Road.
Foleni inaweza ikawa inasababishwa na dereva kutokujua njia mbadala.
Ndiyo kwa sababu daladala haina mchepukoas if wote wana magari yani😂😂ko sisi tunaopanda kwene daladala ndo tunatakiwa tusote kwenye foleni
🤣🤣🤣 Ukorofi huoNdiyo maana Wanyaki mna miguu minene Kwa sababu ya kuchapa lapa.
Ni ukwelii 😂🤣🤣🤣 Ukorofi huo
Wewe unaijua Dar? Unaweza kutembea kutoka Dege Wilaya ya Kigamboni hadi Mabwepande wilaya ya Kinondoni?Afu dar wilaya mpaka wilaya kutembea kwa mguu hata siyo mbali,sembuse kituo hadi kituo....acheni uvivu
Wewe peke yako humu JF ndio huna gari....alisikika chizi mmoja akiropoka.as if wote wana magari yani😂😂ko sisi tunaopanda kwene daladala ndo tunatakiwa tusote kwenye foleni
Kuna njia mbadala.
1. Unaweza kupita Mawasiliano (Terminal) Road ukaingia Sinza Mugabe then ukaenda zako aidha kupita Barabara ya Tandale Hadi Kawawa Road then Ally Hassan Mwinyi.
2. Pita Morogoro Road then Shekilango halafu Bagamoyo Road.
Foleni inaweza ikawa inasababishwa na dereva kutokujua njia mbadala.
uje utembee wewe sasa.Afu dar wilaya mpaka wilaya kutembea kwa mguu hata siyo mbali,sembuse kituo hadi kituo....acheni uvivu