Bora Upungue Kasi Yapo Maeneo Kyerwa, Ngara OopsMimi kila ikifika saa 3 usiku et mtandao unapungua kasi, hadi inanilazimu nibadilishe line tu! ........yani inakera sana mkuu....
Duh...... ni kijijini au?Bora Upungue Kasi Yapo Maeneo Kyerwa, Ngara Oops
Mtandao Haupatikani Roaming Na Hakuna Kupiga, Sms Haziendi
Kyerwa Ni Wilaya Tena Kwa DCDuh...... ni kijijini au?
Duh........tupambane hivyohivyo tu! ndio nchi yetu....Kyerwa Ni Wilaya Tena Kwa DC