Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kwakwer😄Mpka mwaka uishe tutasema vyote 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakwer😄Mpka mwaka uishe tutasema vyote 😂😂
Sasaa ya faraghani,yanafurukutaje uwanjani,tena uwanja wa wazii🤣Haya twende kazi
- Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza.
- Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua.
- Mmekubaliana fresh leo 'mtapumzika' pamoja kwa muda fulani. Cha ajabu mkifunga mlango tu kauli imebadilika unaambiwa "fanya chapu nataka nkasuke mwenzio hlf leo si unajua leo tuna kikoba"
- Mrefu kiasi nyuma amebinuka ile kiuchokozi. Mwenyewe unasema, Yes, Hapa full mbuzi kagoma! Laah salaleh, mwenzio hataki mambo hayo anang'ang'ania full kifo cha mende🤣🤣
😂😂😂😂Swala la kunuka mdomo ndugu kiukweli usilizungumzie kwa sauti kubwa sana kwasababu mtu huwa hajisikii harufu yake mwenyewe ya kinywa kama anavyoweza kusikiwa na mtu wa karibu wanaefanya mazungumzo au chochote, pengine hata wewe hiyo hali unayo ili hujijui na anakuvumilia tu.
and? hili ni suali,, riwaya au nyimbo za mitaani? yaani umeandika hii topic kwa lengo gani hasa?Haya twende kazi
- Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza.
- Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua.
- Mmekubaliana fresh leo 'mtapumzika' pamoja kwa muda fulani. Cha ajabu mkifunga mlango tu kauli imebadilika unaambiwa "fanya chapu nataka nkasuke mwenzio hlf leo si unajua leo tuna kikoba"
- Mrefu kiasi nyuma amebinuka ile kiuchokozi. Mwenyewe unasema, Yes, Hapa full mbuzi kagoma! Laah salaleh, mwenzio hataki mambo hayo anang'ang'ania full kifo cha mende🤣🤣
😂😂😂Swala la kunuka mdomo ndugu kiukweli usilizungumzie kwa sauti kubwa sana kwasababu mtu huwa hajisikii harufu yake mwenyewe ya kinywa kama anavyoweza kusikiwa na mtu wa karibu wanaefanya mazungumzo au chochote, pengine hata wewe hiyo hali unayo ili hujijui na anakuvumilia tu.