Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na sisi wanawake tungekuwa tunawafanyia hivyo ingekuwa vipi eee? Wadau inabidi mrevenge na nyie angalau once unakuja umekunywa kidogo kama saa 9 au kumi usiku, akufungulie mlango then ukishaingia tu ndani unadai haki yako ya mwili watashika adabu zao
naona unajitafutia talaka sasa!
principle ya ndoa yangu ni:''KILA MTU ANA UFUNGUO WAKE,NI MARUFUKU NA HAIRUHUSIWI MSHIKI KUNIPIGIA SIMU NA KUNIULIZA NIPO WAPI MIDA YA USIKU.......!ninahitaji muda kukaa na marafiki ili nijiongezee wigo wa kutoka ki-maisha..''....lakini mshiki akirudi home zaidi ya saa 12,SHE WILL GO HOME!nauli yake ni sh 200 tu had kwa wazazi wake
Swala hapa sio unyumba ,swala ni mapenzi na family..mnaona nyumba zenu kama kituo cha police au??
Ukiwa huko huwa hukumbuki family yako?
Warning!
Please do not try this
JS nahisi kipigo utakacho pata mbwa mwizi ahoni ndani.........
Why shouldn't I? ain't a lady allowed to have some fun once in while? iwe tu a fair game
Duh BHT nimecheka mpaka basi eti mbwa mwizi haoni ndani.......nitajuuuta kumfahamu lol
Wakati mwingine kampani zinaharibu sana mahusiano
hehehe!alichokifanya ni ''kuku-please wewe'' kwa kufanya BILA WEWE KUJUA!which is7*7-49.tena aliamua kufanya hivyo KWA HESHIMA YA WATOTO AMBAO SASA NDO WANAKUA!otherwise usijihakikishie kuwa YOU HAVE CHANGED HIM
Why shouldn't I? ain't a lady allowed to have some fun once in while? iwe tu a fair game
heheee what matters is amefanya au sio dearest!! whether ni kwa heshima ya wato ama yako.......lakini kafanya!!ninachojua mambo yanaenda sawa kwa upande wangu hayo mengine ni non of ma biznec!
To be honest with you my dear;
Hakuna "fairness" kwenye ndoa yoyote ile - kilichopo kwenye ndoa ni "compromise" - Siku hizi wanasema "Agree to disAgree". In either case, any revenge attempt katika ndoa, inaweza ku-lead into a very catastrophic situation. Kuna thread moja humu JF nimeisoma - Dada mmoja huko USA amekutwa amekufa mwili hupo kwenye ki"sulphate", ingawa mimi sio CID police lakini hicho kifo is purely a "homicide"
Mwanaume yoyote yule - in whatever part of the universe you are - hawezi kuvumilia kuona mke wake/partner anajiamulia mambo yake ya starehe as she wishes - iwe kunywa, au kwenda beach, au hata kwenye sherehe peke yake. Ndiyo maana sehemu nyingi za Africa huwezi kumkuta mwanamke yupo Kaunta anaagiza "Double" akiwa pekee yake : Kama utamkuta - trust me - she is on the "loose"
Swala hapa sio unyumba ,swala ni mapenzi na family..mnaona nyumba zenu kama kituo cha police au??
Ukiwa huko huwa hukumbuki family yako?[/QUO
Jiamini tuu mama kaa na mtu wako taratibu na atabadilika,lakini usimshauri aachane na marafiki zake moja kwa moja,bali atafute mbadala wa hiyo tabia,poleni sana waathirika wa hii!!
heheee what matters is amefanya au sio dearest!! whether ni kwa heshima ya wato ama yako.......lakini kafanya!!
sure!na ukitaka kumfuatili anayoyafanya nyuma ya pazia u'll be sorry for your sweet self.as long heshima ipo home mengine ni majaaliwa
ndoa si mchezo uuuuuuuuuuuuuuuuuhhhh!!!
Inawezekana kabisa nyumba zinaonekana kama vituo vya polisi kutokana na kero ndani ya nyumba. Ukirudi tu mke anaanza kulalama nimechoka nimefanya hiki nimefanya kile na pia naumwa tumbo au kichwa, nina vipindi vyangu kwenye TV nataka kuviangalia kuanzia saa moja hadi tano usiku, huna muda na mumeo haya yote yanachangia kuishia Bar au nyumba ndogo ili kuzikimbia adha za nyumbani ambazo huishia kwenye ugomvi. Akiamua kurudi usiku wa manane anapunguza uwezekano wa vurumai.
best ukiingia lazima ufunge mbeleko ya chuma ..ni ngumu kiukweli