Kero katika mahusiano ya ndoa ....

Kero katika mahusiano ya ndoa ....

ni kweli matron, tena ndo ukute na hyo mwenz wako bendera fata upupo.......kila siku mtagombana na mwisho wake kila mtu atachukua chake

bestlady kuna vijamaa vimetoka univasiti of Mlimani pale 3 yrs past ..vyenyewe ni maji ya TBL na kina Eliza ...hivi hao ni frnds wazuri kweli???mambo ya kuharibiana ndoa haya!

Cha kufanya:-
1.
2.
3.
4.
5.
6.
 
Life can only be understood backward but it must be lived forward
 
Maisha ndivyo yalivyo, sometimes, ilimradi tu mambo yasiende. Lakini kwa wale wanaume wasiokunywa pombe, wanarudi mapema na wanasaidia baadhi ya kazi za nyumbani mambo ni mazuri??? I'm one of them, but I wish ningekuwa mlevi kama wanaume wengine. Ukikaa nyumbani filimbi hazikomi na unapofika huo wakati wa kwenda kulala tayari kuna vi-bif vya kijinga vingi ambavyo ndo vinakuwa cited kama sababu ya kunyimwa uhaus. Hakuna lililo jema kwa mwanamke kwenye mambo kama haya. There is always KISINGIZIO!!!

Wala usiwe mlevi hata siku moja, kua mchunguzi kwa nini hivo visababu vinakuepo.
Mkeo ni mwanadamu na pia anachoka kama wewe, usifanye hizo kazi kama favor ila ona kama ni jukumu lako kufanya. Mi nachukia sana km mwanamme atafanya kazi za nyumbani huku kila saa anatamka nakusaidia as if wewe tu ndo unatakiwa kufanya hizo kazi wakati wote mmetoka kazn na mmechoka.
 
hee huyu mwanamme ana vituko ..siku za weekend inabidi amsaidie mama watoto kazi ndogondogo .
kazi za home ni nyingi na zinzchosha sana ..pia haziishi ukimaliza hii inaibuka nyingine ..
Huyu jamaa hana huruma hata kidogo

FL, sio kwamba amsaidie ila ni jukumu lake kufanya hivo.

hawa wanaume wenda wazimu kweli, hivi na sisi tukipita bar tukirudi usiku watajisikiaje.
 
ilinisaidia tena sana sana tu...mbona alijirekebisha mwenyewe!..c mnapendaga attention mkiiosa mnaumwa.


Ndiyo hapo wanahamia nyumba ndogo ambapo kila ukizuka tu attention kama kazi. Na hii ndiyo sababu kubwa ya kushamiri nyumba ndogo, nyumbani mama akiuchuna basi kuna mwenzie anayefaidi katika nyumba ndogo na si ajabu akapewa promotion.
 
hahahahahah mara naangalia Kina Juan Miguel ..inaisha unaanza Shade of Sin..mala inakuja La Toramento ..lakini si mnaangalia pamoja kuliko kukesha bar..vi serengeti ndani vipo ..na mawazo ya wife mara kibao ni ya kujenga na si kubomoa

Hata mawazo ya nyumba ndogo mara nyingi sana ni kujenga na si kubomoa muulize Da Sophy, ndiyo maana nyumba ndogo zinashamiri sana na pia unajiona kama mfalme hata kwa masaa machache tu ukilinganisha na kurudi nyumbani ambako mke hana muda na wewe kwa kisingizio cha kuchoka na kutaka kuangalia vipindi vyake kila siku ya mungu.
 
Ndiyo hapo wanahamia nyumba ndogo ambapo kila ukizuka tu attention kama kazi. Na hii ndiyo sababu kubwa ya kushamiri nyumba ndogo, nyumbani mama akiuchuna basi kuna mwenzie anayefaidi katika nyumba ndogo na si ajabu akapewa promotion.

Mnaahamia nyumba ndogo ili kutukomoa ua?
Hv kwani mimi nakosa nyumba kubwa(jibaba la kunihudumia)?

Kv vp ngoma droo.. Hawa wanaume ukiwaendekeza utalia.
 
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:

Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala .

Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...:A S-confused1:

Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha )

Why .......Why........ Why ????

TUTAJIREKEBISHA First Lady usijali
 
Lazima wenye ndoa changa na hata za cku nyingi mbadilie-kama unatoka toka na mkeo.Hukumuoa alindenyumba lazima mtoke wote na mfurahi pamoja na watoto wenu ndo maana ya familia.
 
Mnaahamia nyumba ndogo ili kutukomoa ua?
Hv kwani mimi nakosa nyumba kubwa(jibaba la kunihudumia)?

Kv vp ngoma droo.. Hawa wanaume ukiwaendekeza utalia.


Utalia kidogo!! raha jipe mwenyewe ukisema umngoje akupe utajuta.
 
Wala usiwe mlevi hata siku moja, kua mchunguzi kwa nini hivo visababu vinakuepo.
Mkeo ni mwanadamu na pia anachoka kama wewe, usifanye hizo kazi kama favor ila ona kama ni jukumu lako kufanya. Mi nachukia sana km mwanamme atafanya kazi za nyumbani huku kila saa anatamka nakusaidia as if wewe tu ndo unatakiwa kufanya hizo kazi wakati wote mmetoka kazn na mmechoka.



Utafikiria wewe chuma, mimi huwa sielewagi na nasemaga nimechoka sifanyi.......
 
Ni kero, inabidi kubadilika. Ila ushauri kwa Mwanamke... Hata akirudi asubuhi, mpokee vizuri, muandalie maji ya kuoga, muulize atakula nini.. akifanya hivyo kwa miezi kadhaa! Ipo siku ATABADILIKA huwezi amini.... Ila kama akirudi amelewa halafu wewe unamKOROMEA.. Walah hawezi acha.. Akina MAMA mna nafasi kubwa sana ya kujenga au kubomoanyumba zenu.

Poleni wenye kutarajia mabadiliko... huyu mwanaume kama hujamzibiti toka anakuoa..sahau!
Bora anaemaliza mambo yake yote kabla ya saa moja usiku kuliko anayekurudia usiku kalewa ananuka pombe haweza hata kuoga. Mie wangu nashukuru sana...anacheza mchana weeeee, jioni anarudi kuoga na kutulia na mimi maana kengele imelia tayari!
 
Hivi F1 Mr. akijamba wkt mmejifunika shuka utafanyaje?
 
Back
Top Bottom