Kero katika mahusiano ya ndoa ....

Kero katika mahusiano ya ndoa ....

Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:

Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala .

Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...:A S-confused1:

Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha )

Why .......Why........ Why ????

unaomba ushauri au inakuwaje?
 
muingie jamani, nakushauri uingie kwa hali yako asilia, sio dizaini ku pretend, jionyeshe upo wa namna gani kuanzia mwanzo ili partner aweze kukujua fresh kuanzia mwanzo, mie niliingia full kichaa so akajua jinc ya ku deal na kichaa wake, lyfe linasonga.

Nimeipenda hii..Nyamayao I love to read ur posts
 
Swala hapa sio unyumba ,swala ni mapenzi na family..mnaona nyumba zenu kama kituo cha police au??
Ukiwa huko huwa hukumbuki family yako?

Mi huwa naona kama ni mtu anakuwa anataka kukufanya u-feel guilty tu kwa kumnyima. Afu utaambiwa nilikuwa na washkaji! Kama hao washkaji ni muhimu hivi, 7 days a week, basi tutafute bweni tuishi wooote na wake zao ili usiwamisi!! hata weekend jamani ndo kabisa mume wa mtu anarudi nyumbani alfajiri saa kumi! No wonder affairs in married women zimekuwa kama kawaida siku hizi!
 
jana mr kapigiwa cm na frnd wake tuliocmamia ndoa yake anamwambia naomba uongee na mke wangu mana cmuelewi kabisa, natakiwa kazini hataki niende akihic namdanganya amefunga milango yote funguo kazi2pa chini(ni kaghorofa)..mr akaniambia hebu mcal mke wa fulani uongee nae anachokifanya sio vzr kama mwenzie kaitwa kazini, nilipomcal huyo dada utasema alikuwa anasubiria cal yangu kwa hamu"yes dada na funguo nimezitupa nje amezidi huyu, hana wkend wala holiday, nitamfungulia nitakapojickia)...nikamuuliza una funguo za ziada akasema hapana, alimcal jirani aziokote hizo funguo so akitaka kumfungulia atamcal tena jirani aje amfungulie"...watu wamejichokea bwana.....
 
Toba!:A S-eek:
 
sasa huu ni upuuzi!mi sitakaa nivumilie upupu kama huu!
niko tayari kuishi single kwakweli
 
yaani mie nilijionea poa tu, wala simlaumu kabisa mana kila mtu anapambana na ndoa yake kivyake vyake, huyu ndio dizaini yake hiyo...na leo asubuhi mdada ananical kwamba ni uongo mkaka alikuwa hajaitwa kazini bali ni mambo yake tu...aliumbuka mana ilibidi mkaka azime fone, rafiki yake aliekuwa na miada yake ya kwenda kuzurura nae alipoona jamaa hapatikani ikabidi amcal wife, ndio wife akajua ukweli.....
 
yaani mie nilijionea poa tu, wala simlaumu kabisa mana kila mtu anapambana na ndoa yake kivyake vyake, huyu ndio dizaini yake hiyo.
yaani mwanamke akijidanganya anifanyie huo ujinga....!ndo ananipa changamoto ya kutafuta kimada sasa
 
FL1 pole sana. Ila ukiona shemeji ameanza hivyo mara nyingi kunakuwa na sababu. Maana nyie nao mnabadilika sana.
 
Back
Top Bottom