Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:
Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala .
Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...:A S-confused1:
Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha )
Why .......Why........ Why ????
unaomba ushauri au inakuwaje?