Kero katika mahusiano ya ndoa ....

ndoa si mchezo uuuuuuuuuuuuuuuuuhhhh!!!
 

JS nahisi kipigo utakacho pata mbwa mwizi ahoni ndani.........
 


Umempata kweli, na kazi anayo.
 
Swala hapa sio unyumba ,swala ni mapenzi na family..mnaona nyumba zenu kama kituo cha police au??
Ukiwa huko huwa hukumbuki family yako?

Inawezekana kabisa nyumba zinaonekana kama vituo vya polisi kutokana na kero ndani ya nyumba. Ukirudi tu mke anaanza kulalama nimechoka nimefanya hiki nimefanya kile na pia naumwa tumbo au kichwa, nina vipindi vyangu kwenye TV nataka kuviangalia kuanzia saa moja hadi tano usiku, huna muda na mumeo haya yote yanachangia kuishia Bar au nyumba ndogo ili kuzikimbia adha za nyumbani ambazo huishia kwenye ugomvi. Akiamua kurudi usiku wa manane anapunguza uwezekano wa vurumai.
 
JS nahisi kipigo utakacho pata mbwa mwizi ahoni ndani.........


Duh BHT nimecheka mpaka basi eti mbwa mwizi haoni ndani.......nitajuuuta kumfahamu lol
 
Wakati mwingine kampani zinaharibu sana mahusiano
 
Duh BHT nimecheka mpaka basi eti mbwa mwizi haoni ndani.......nitajuuuta kumfahamu lol

chezeaaaaaaa!!!
kufanya wafanye wao kina sugar cakes n stud muffins ukifanya weye umekosea!!!
 
Wakati mwingine kampani zinaharibu sana mahusiano

ni kweli matron, tena ndo ukute na hyo mwenz wako bendera fata upupo.......kila siku mtagombana na mwisho wake kila mtu atachukua chake
 
hehehe!alichokifanya ni ''kuku-please wewe'' kwa kufanya BILA WEWE KUJUA!which is7*7-49.tena aliamua kufanya hivyo KWA HESHIMA YA WATOTO AMBAO SASA NDO WANAKUA!otherwise usijihakikishie kuwa YOU HAVE CHANGED HIM

ninachojua mambo yanaenda sawa kwa upande wangu hayo mengine ni non of ma biznec!
 
Why shouldn't I? ain't a lady allowed to have some fun once in while? iwe tu a fair game

To be honest with you my dear;

Hakuna "fairness" kwenye ndoa yoyote ile - kilichopo kwenye ndoa ni "compromise" - Siku hizi wanasema "Agree to disAgree". In either case, any revenge attempt katika ndoa, inaweza ku-lead into a very catastrophic situation. Kuna thread moja humu JF nimeisoma - Dada mmoja huko USA amekutwa amekufa mwili hupo kwenye ki"sulphate", ingawa mimi sio CID police lakini hicho kifo is purely a "homicide"

Mwanaume yoyote yule - in whatever part of the universe you are - hawezi kuvumilia kuona mke wake/partner anajiamulia mambo yake ya starehe as she wishes - iwe kunywa, au kwenda beach, au hata kwenye sherehe peke yake. Ndiyo maana sehemu nyingi za Africa huwezi kumkuta mwanamke yupo Kaunta anaagiza "Double" akiwa pekee yake : Kama utamkuta - trust me - she is on the "loose"
 
ninachojua mambo yanaenda sawa kwa upande wangu hayo mengine ni non of ma biznec!
heheee what matters is amefanya au sio dearest!! whether ni kwa heshima ya wato ama yako.......lakini kafanya!!
 

Nikuulize Obuntu ukinikuta nimekaa counter, naorder my drink whether double jack daniels au a shot of tequilla nafurahia maisha, will i be on the loose too? na partner wangu anajua where i am na he doesnt have any problem with that. hebu nifafanulie zaidi maana na mie pia ni muafrika.
 
 
heheee what matters is amefanya au sio dearest!! whether ni kwa heshima ya wato ama yako.......lakini kafanya!!

sure!na ukitaka kumfuatili anayoyafanya nyuma ya pazia u'll be sorry for your sweet self.as long heshima ipo home mengine ni majaaliwa
 
sure!na ukitaka kumfuatili anayoyafanya nyuma ya pazia u'll be sorry for your sweet self.as long heshima ipo home mengine ni majaaliwa

ya nini ujipe magonjwa ya moyo mwaya!! bora ujirahisishie maisha kama hivo
 

hahahahahah mara naangalia Kina Juan Miguel ..inaisha unaanza Shade of Sin..mala inakuja La Toramento ..lakini si mnaangalia pamoja kuliko kukesha bar..vi serengeti ndani vipo ..na mawazo ya wife mara kibao ni ya kujenga na si kubomoa
 
best ukiingia lazima ufunge mbeleko ya chuma ..ni ngumu kiukweli

kwa kweli I have to!!

mamii ngoja niende nikaendelee kutafakuri ugumu wa hii taasisi!!

walio ndani wanatamani kutoka, tulio nje tunatamni kuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…