Noname
JF-Expert Member
- Feb 8, 2010
- 1,269
- 29
Mmeoana /or Boyfriend na G/friend mahusiano ya sasa hayatabiriki maana baadhi GF/na BF tayari walishaanza kuishi kama wanandoa:A S 39:
Mwanaume unatoka kazini au popote katika shughuli zako za kila siku badala upite nyumbani kuijulia hali familia ndio uendelee na mengine unapitia Bar au kwa marafiki zako, Mama /Mpenzi kaandaa chakula kasubili utatokea saa tatu/nne /tano huonekani Wife anaamua kulala .
Saa saba /au nane /Tisa mme anaingia kwanza ananuka pombe utampa maji ya kuoga, chakula maybe atakula au atagoma..then anadai unyumba ...:A S-confused1:
Hii naona kama ni Kero kwanza unakuwa umemsumbua usingizi wake kuukatili ,then aanze kujiandaa kisaikolojia ili upate haki yako......kwanini usirudi mapema kaa na family /kuleni pamoja /na muda wa kuingia kulala mnakuwa pamoja........(faragha )
Why .......Why........ Why ????
Samahani nataka kuirudisha topic nyuma... swali langu ni why do women keep tolerating this behavior? I mean if my husband makes excuses for why he cant spend time with me, I will also need to make excuses for why I cant spend time with him... (I can be busy eating; sleeping; going gym; going shopping; have dinners with my friends; going saloon..the list is damn long)
Halafu kwanini huwezi kusema No kama amekuja late? mpaka uanze kujiandaa kisakolojia... mie jamani siwezi jamani...just tried once and I felt depleted the next day (heaven forbid)... hata kazi huwezi kufanya jamani...
First lady do u think this is a game? No if he is too busy and you've already tried telling him how u feel. it is time to show him with your actions....if he doesnt care about u, may be it is time that u stop caring about him and start caring about urself .......