KERO Kero kwenye vivuko, Dar es Salaam

KERO Kero kwenye vivuko, Dar es Salaam

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hii treni itatoboa hata krismass moja kweli?!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wakazi wa kigamboni kipindi cha kikwete kulikua na vivuko viwili mv alina na mv kigamboni na vilikua sio vivuko bali ni chuma chakavu vinavyo elea.Akaja Mh. JPM.akatuletea boti mpya mbili na akakitengeneza mv kigamboni jumla vikawa vitatu yaan tulipata rahaa yaan kuvuka ni fasta tu na huduma ikawa bora sana.Alivo ondoka tu mpendwa wetu vivuko vikaanza kuharibika speed ya mwendo kasi mpaka sasa pale kuna skrepa tu na wajinga wale hawaoni hata aibu wako nusu km kutoka ikulu lakini hakuna uwajibikaji kabisa.
 
Mleta mada chaliii kifo cha Mendes😂💔
 
Back
Top Bottom