Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni zaidi ya dakika 45.
Hii sio sawa, tunapoteza muda kwa msafar wa kiongozi ambaye ingewezekana dakika 10 kabla ya kupita kwake ndio tusimamishwe.
Wahusika mlifanyie kazi hili.