Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Wanasema wamepita kwa kishindo, sasa wanawaogopa Tena waliowachagua kwa kishindo? Shithole countries!Naibu Waziri mkuu kwenye kili marathoni, dah.
Hivi Ulaya kwenye zile formula one na marathoni nazo huwa zinazinduliwa na mawaziri?
Huwa naona watu wazito sana Ulaya wakipita barabaraniNaibu Waziri mkuu kwenye kili marathoni, dah.
Hivi Ulaya kwenye zile formula one na marathoni nazo huwa zinazinduliwa na mawaziri?
Tuna nchi ya kijinga sn ndiyo maana imejaa umasikiniLeo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni zaidi ya dakika 45.
Hii sio sawa, tunapoteza muda kwa msafar wa kiongozi ambaye ingewezekana dakika 10 kabla ya kupita kwake ndio tusimamishwe.
Wahusika mlifanyie kazi hili.
Sisi tunaongozwa na majitu ya hovyo kabisaHuwa naona watu wazito sana Ulaya wakipita barabarani
Kwanza hutangulia pikipiki moja ya polisi, mpaka roundabout au kwenye traffic light
Halafu akifika mwingine yule wa kwanza anaendelea mbele
Halafu unaona gari moja mbele na nyingine nyuma kwisha habari.
Hakuna kufunga barabara hata akiwa mfalme anapita
Bali mtasimamishwa kwa dakika 2 tu
Kuhusu sherehe utaona kwenye TV tu wameenda
Hakuna kiongozi anakata utepe wa daraja huku
Biteko awe anakwenda kanisani walao Jumapili na aache kuzurura hovyo nchini.Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni zaidi ya dakika 45.
Hii sio sawa, tunapoteza muda kwa msafar wa kiongozi ambaye ingewezekana dakika 10 kabla ya kupita kwake ndio tusimamishwe.
Wahusika mlifanyie kazi hili.
Inasikitisha sana Mkuu, hebu fikiria kwa mwaka viongozi wote kusimamisha magari ni masaa mangapi wanawapotezea kwa shughuli zenu?Sisi tunaongozwa na majitu ya hovyo kabisa
Kwanini asipelekwe KIA kwa Helicopter!Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni zaidi ya dakika 45.
Hii sio sawa, tunapoteza muda kwa msafar wa kiongozi ambaye ingewezekana dakika 10 kabla ya kupita kwake ndio tusimamishwe.
Wahusika mlifanyie kazi hili.
Halafu kwanini wasimamishe magari? why wasitumie helicopter badala ya kusumbua watu?Inasikitisha sana Mkuu, hebu fikiria kwa mwaka viongozi wote kusimamisha magari ni masaa mangapi wanawapotezea kwa shughuli zenu?
Ndio maana umasikini hauishi kwa sababu wanafanya mambo ya hovyo mno
Sioni sababu zozote za kusimamisha masaa.Halafu kwanini wasimamishe magari? why wasitumie helicopter badala ya kusumbua watu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa naona watu wazito sana Ulaya wakipita barabarani
Kwanza hutangulia pikipiki moja ya polisi, mpaka roundabout au kwenye traffic light
Halafu akifika mwingine yule wa kwanza anaendelea mbele
Halafu unaona gari moja mbele na nyingine nyuma kwisha habari.
Hakuna kufunga barabara hata akiwa mfalme anapita
Bali mtasimamishwa kwa dakika 2 tu
Kuhusu sherehe utaona kwenye TV tu wameenda
Hakuna kiongozi anakata utepe wa daraja huku
Nchi za wenzetu hakuna huu ujingaSioni sababu zozote za kusimamisha masaa.
Ni mambo ya ajabu sana
Wanaona kama hamna shughuli za kufanya
Hii alisema Makamu wa Rais Dr Mpango na kulipinga kabisa usumbufu huu.
Tatizo la hapo ni kuwa kiongozi anaposema hoja analiacha hapo hapo badala ya kuifanya sheria ikaingia kwenye vitabu
Matamko mengi bila faida
Poleni
Ni umasikini wa akili hukoNchi za wenzetu hakuna huu ujinga
Unapokuwa na taifa la watu wajinga lazima vitu kama hivi vitokeeNi umasikini wa akili huko
Huwezi kutembea na magari 100 barabarani kisa unaenda kwenye tamasha
Tatizo ni nyie wenyewe, mnawachagua kisha mnaanza kuwawinda muwapore cheni zao, hivyo uadui mnauanzisha nyie.Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni zaidi ya dakika 45.
Hii sio sawa, tunapoteza muda kwa msafar wa kiongozi ambaye ingewezekana dakika 10 kabla ya kupita kwake ndio tusimamishwe.
Wahusika mlifanyie kazi hili.
Ifike muda watengenezewe Barabara zao waache usumbufu Kwa wananchiLeo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni zaidi ya dakika 45.
Hii sio sawa, tunapoteza muda kwa msafar wa kiongozi ambaye ingewezekana dakika 10 kabla ya kupita kwake ndio tusimamishwe.
Wahusika mlifanyie kazi hili.
Neta! Waambie ukweli Hawa mapimbi!Tuna nchi ya kijinga sn ndiyo maana imejaa umasikini