Kero: Messages za mikopo kutoka taasisi za mikopo

Bijang

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
412
Reaction score
805
Habari wakuu,

Kumekuwa na kero kubwa ya SMS (ujumbe mfupi WA maneno) kutoka kwa hizi taasisi za mikopo, kama Bayport, Fanikiwa, Platinum n.k

Yaani kila siku iendayo Kwa Mungu iikifika saa nne asubuhi lazima nipokee sms, yaan nishaweka akilini ikifika hiyo muda lazima nipokee sms, tena number huwa ni tofauti kila Leo l, nimeshajaribu kutoa taarifa Kwa halotel, voda n.k wakasema hawawezi kumzuia mtu kunitumia SMS, SASA nauliza kwel imekuwa rahisi Kiasi hiki Mimi kuingiliwa faragha yangu, Kwa kweli imekuwa ni kero kubwa Sana, naomba TCRA kama wapo huku naomba mlidhibiti hili
 
Kama ni mtumishi w serikali, tena wakigundua ni yule wa ngazi za chini! Aisee watakusumbua sana. Baadhi ya taasisi ulizozitaja hapo juu zimeajiri wadada, basi kila muda ni kushawishi tu ili uingie mkenge.
 
Habari wakuu,
Kumekuwa na kero kubwa ya SMS (ujumbe mfupi WA maneno) kutoka kwa hizi taasisi za mikopo, kama Bayport, Fanikiwa, Platinum n.k

Yaani kila siku iendayo Kwa Mungu iikifika saa nne asubuhi lazima nipokee sms, yaan nishaweka akilini ikifika hiyo muda lazima nipokee sms, tena number huwa ni tofauti kila Leo l, nimeshajaribu kutoa taarifa Kwa halotel, voda n.k wakasema hawawezi kumzuia mtu kunitumia SMS, SASA nauliza kwel imekuwa rahisi Kiasi hiki Mimi kuingiliwa faragha yangu, Kwa kweli imekuwa ni kero kubwa Sana, naomba TCRA kama wapo huku naomba mlidhibiti hili
We utakuwa mwalimu, sisi tuliojiari hawawezi kututumia
 
Ngoja nitafute mwanasheria mzuri yas wakanilipe maana hawawezi kuuza namba yangu kwenye ofisi za mikopo bila kunishirikisha
 
Ulikopa kwao au hujakopa?. Siku hizi wakopeshaji wana mifumo ya sms na simu; ukikopa tuu, kazi unayo.
 
Kazi za maafisa rasilimali watu wa halmashauri hizo kugawa namba za watumoshi kwenye taasisi za mikopo
 
Ngoja nitafute mwanasheria mzuri yas wakanilipe maana hawawezi kuuza namba yangu kwenye ofisi za mikopo bila kunishirikisha
Na kweli wanauza, mi Kuna mmoja aliniambia namba 100 wananunua kwa buku 10.
 
Ngoja nitafute mwanasheria mzuri yas wakanilipe maana hawawezi kuuza namba yangu kwenye ofisi za mikopo bila kunishirikisha
Hao sio halotel Wala Airtel ni wahuni Wachache waliokaa zile ofisi za halmashauri ndo huwa wanauza taarifa za watumishi kwa hao watu wa mikopo
 
Jichanganye ukope uone shughuli yao.... Kuna kataasisi kanaitwa OYA walimpiga jamaa anaedaiwa hadi wakaua
 
Back
Top Bottom