malkiamrembo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 386
- 231
Ndugu zangu mm ni mwanaYanga tangu kuzaliwa yaani huyu msemaji wa timu yetu yupo kimya na hamna hamasa zozote kwa timu mimi sioni kazi anayofanya huyu jamaa Mara kumi akapewa Kijana anayejitahidi kuitetea timu na kumpa presha yule mlopokaji wa simba, huyu Dismas ajitafakari sisi tunaichangia club ili ipate maendeleo lkn yy hata kuhamasisha watu kuja uwanjani hakuna.
1. Hatumsikii hata akihamasisha
2. Hatumsikii hata akiongea maendeleo ya timu
3. Hatumsikii hata akihamasisha michango
7 hata kwenye yale ya msingi kama Kuhamasisha mashabiki kuhusu michango na kufika uwanjani na kutoa updates za wachezaji tetesi za migomo na mambo yahusuyo Club hatumuoni akiwa mbele mbele. Huwezi amini %kubwa yetu wa Yanga hatupati taarifa kutoka kwake. Hakuna updates zozote za upcoming games na ufafanuzi wa games zetu sanjari na kuwapa moyo mashabiki. sisi inatuuma sana wasione tupo kimya.
AONDOLEWE