Kero: Msemaji wa timu ya Yanga hatufai

Kero: Msemaji wa timu ya Yanga hatufai

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Ndugu zangu mm ni mwanaYanga tangu kuzaliwa yaani huyu msemaji wa timu yetu yupo kimya na hamna hamasa zozote kwa timu mimi sioni kazi anayofanya huyu jamaa Mara kumi akapewa Kijana anayejitahidi kuitetea timu na kumpa presha yule mlopokaji wa simba, huyu Dismas ajitafakari sisi tunaichangia club ili ipate maendeleo lkn yy hata kuhamasisha watu kuja uwanjani hakuna.

1. Hatumsikii hata akihamasisha
2. Hatumsikii hata akiongea maendeleo ya timu
3. Hatumsikii hata akihamasisha michango

7 hata kwenye yale ya msingi kama Kuhamasisha mashabiki kuhusu michango na kufika uwanjani na kutoa updates za wachezaji tetesi za migomo na mambo yahusuyo Club hatumuoni akiwa mbele mbele. Huwezi amini %kubwa yetu wa Yanga hatupati taarifa kutoka kwake. Hakuna updates zozote za upcoming games na ufafanuzi wa games zetu sanjari na kuwapa moyo mashabiki. sisi inatuuma sana wasione tupo kimya.
AONDOLEWE
 
Dismas hatufai ndugu zangu mashabiki wa Yanga tumekuwa qakiwa sana mpaka tunaanza kumkumbuka Jerry Muro
 
Muro na huyo Manara ndiyo walio kuwa wanawezana kwa vijembe, tangia alivyo ondoka Muro sijawahi kumskia msemaji wa yanga..

Wanasema Yanga inaendeshwa kisomi
Hakuna cha usomi wowote wasituletee uongo msemaji ga i bunu yupo kimya kama ningekuwa na uwezo mm ningependekeza Apewe Official Mwalubadu
 
SIMBA NA YANGA NI TIMU ZA USWAHILINI NI ZA KISWAHILI

1. Lazima awepo tajiri mwenye uwezo wa kununua wachezaji kuwalipa mshahara na pesa nyingine kwa ajili ya kuwapa " WAZEE WA TIMU" ambao hawana kazi ila siku usipowapa fedha utakipata

2. Lazima wawepo watu/kamati ambayo kazi yao ni kuzunguka na kutafuta waganga wa kienyeji ambao wakati mpira unachezwa wao watakuwa amba wamewabebesha wachezaji furushi la makorokoro ya ajibu ama watakuwepo uwanjani wenyewe wakiwa wamejificha sehemu wakiendelea na vimbwanga vyao, zamani walikuwa ni wazee lakini siku hizi ni vijana wadogo sana

3.Lazima kuwepo na msemaji ambaye hatumii ethics za uanahabari bali ni mipasho na michambo kama inayoendelea sasa kati ya zari na mange, ili kutengeneza hamasa kwa wachezaji na mashabiki nje ya uwanja kabla ya mechi , sasa hivi Yanga imekosa mtu wa namna hiyo baada ya jeri kuondolewa na kabaki manara mwenyewe anatamba atakavyo hana mtu wa kumjibu na inafikia wanataka kumrushia vijembe kocha ili awajibu raha yao itimie
 
Acha utabi mkuu Zahera ni moja kati ya waalimu bora kabisa acha kututania
Wewe si shabiki wa yanga, Mashabiki wa Yanga Wote wanajua kwamba Mwinyi Zahera Kwa sasa ndio Msemaji, mwenyekiti, katibu, kocha, mhasibu na mhamasishaji mkuu! Sawa mzee??
 
Ila kutoa matusi wee anaiweza kazi hio we acha tu
 
SIMBA NA YANGA NI TIMU ZA USWAHILINI NI ZA KISWAHILI

1. Lazima awepo tajiri mwenye uwezo wa kununua wachezaji kuwalipa mshahara na pesa nyingine kwa ajili ya kuwapa " WAZEE WA TIMU" ambao hawana kazi ila siku usipowapa fedha utakipata

2. Lazima wawepo watu/kamati ambayo kazi yao ni kuzunguka na kutafuta waganga wa kienyeji ambao wakati mpira unachezwa wao watakuwa amba wamewabebesha wachezaji furushi la makorokoro ya ajibu ama watakuwepo uwanjani wenyewe wakiwa wamejificha sehemu wakiendelea na vimbwanga vyao, zamani walikuwa ni wazee lakini siku hizi ni vijana wadogo sana

3.Lazima kuwepo na msemaji ambaye hatumii ethics za uanahabari bali ni mipasho na michambo kama inayoendelea sasa kati ya zari na mange, ili kutengeneza hamasa kwa wachezaji na mashabiki nje ya uwanja kabla ya mechi , sasa hivi Yanga imekosa mtu wa namna hiyo baada ya jeri kuondolewa na kabaki manara mwenyewe anatamba atakavyo hana mtu wa kumjibu na inafikia wanataka kumrushia vijembe kocha ili awajibu raha yao itimie
Dah mkuu umeongea kwa uzoefu sana nahilo ndo soka la timu zetu za simba na yanga
 
Ndugu zangu mm ni mwanaYanga tangu kuzaliwa yaani huyu msemaji wa timu yetu yupo kimya na hamna hamasa zozote kwa timu mimi sioni kazi anayofanya huyu jamaa Mara kumi akapewa Kijana anayejitahidi kuitetea timu na kumpa presha yule mlopokaji wa simba, huyu Dismas ajitafakari sisi tunaichangia club ili ipate maendeleo lkn yy hata kuhamasisha watu kuja uwanjani hakuna.

1. Hatumsikii hata akihamasisha
2. Hatumsikii hata akiongea maendeleo ya timu
3. Hatumsikii hata akihamasisha michango

AONDOLEWE
Ushawah kumsikia msemaji wa timu ya man u au city au timu zozote za ulaya na nch nyingne si kuwa msemaji uwe unaropoka ropoka tu usemaji una miiko na maadili yake.
 
Mkuu usifananishe timu za ulaya na ujinga wa hapa,geographical location na background ni tofauti sana
 
Back
Top Bottom