Kero na karaha ya maisha ya kibachela

Lucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
14,516
Reaction score
50,658
*unaweza kupika ugali hadi ukaungua lakin usiive
*Unaweza kuacha kupika kisa unaona uvivu kuosha vyombo
*Friji inaweza kugeuka kuwa kabati kila kitu unaweka huko kikombe,sahan, sukari majani ya chai n.k
*Unaweza kuondoka kwenda kazini na remote ya radio ukijua ni simu
*Unaweza kulala mwezi mzima bila kufua wala kubadilisha mashuka

Sent using Gun Trigger
 
ubachela hauna kero, acha kutulisha maneno mkuu,alafu hiyo point yako ya mwisho ni uchafu[emoji23]
Mkuu we maisha ya kibachela huyajui ww kutokufua mashuka hiyo ni yentee tu

Sent using Gun Trigger
 
Na ukishika simu yenye bando hasa kuanzia GB 1, basi shetani anakuwa na kiherehere unajikuta ghafla uko kwenye site pendwa
Simu ikiwa na GB 1 yan nilazma tu uzame ile site ila sahiv nataka nijitahid niache kabisa nimeshakua mlevi

Sent using Gun Trigger
 
Adv & disadvantage.
Hasara
1.geto kugeuka stoo
2.kuzirudia rudia nguo kuvaa bila kufua
3.kufanya usafi geto hadi uwe na mihadi na demu
4.upigaji wa nyeto usiniambie hupigi punyeto endapo wewe ni bachelor
5.
 
Adv & disadvantage.
Hasara
1.geto kugeuka stoo
2.kuzirudia rudia nguo kuvaa bila kufua
3.kufanya usafi geto hadi uwe na mihadi na demu
4.upigaji wa nyeto usiniambie hupigi punyeto endapo wewe ni bachelor
5.
Nyet* mi nimeacha mkuu sijapiga leo siku ya nne ila sikushauri uache ni kaz sana

Sent using Gun Trigger
 
Mwanaume unajipikilisha pikilisha ili iweje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…