Kero na karaha ya maisha ya kibachela

Kero na karaha ya maisha ya kibachela

Shuka likichafuka upande wa juu, tunageuza na kutandika upande mwingine.
Usafi wa geto Mara 1 kwa week
Soksi safi unapukutia sahani
Hahahahaaaaa
 
Aisee unaonekana upo rafu[emoji41]
Hakuna mwanaume ambae hapitii hii mikasa ase labda uendlee kulelewa na baba na mama ila ukiamua kwenda kujitafutia ni lazma ukutane nazo hizi mambo hasa katika kipind cha ubachela

Sent using Gun Trigger
 
Shuka likichafuka upande wa juu, tunageuza na kutandika upande mwingine.
Usafi wa geto Mara 1 kwa week
Soksi safi unapukutia sahani
Hahahahaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Gun Trigger
 
Dah kuhusu kufua shuk nisiwe mwongo

mwezi mmoja nalalia upande wa ukutane, mwezi wa 2 nahamia upande mwingine

minimum ya kufua shuka ni miezi 2.5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha

Sent using Gun Trigger
 
Yani kuhusu nyeto napiga sana, tena sasa hiv nina ma group ya porn ya kutosha..

Nb: kuacha porn ni kazi sana, labda kichwa ya gegedo ipate jeraha kubwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna mwanaume ambae hapitii hii mikasa ase labda uendlee kulelewa na baba na mama ila ukiamua kwenda kujitafutia ni lazma ukutane nazo hizi mambo hasa katika kipind cha ubachela

Sent using Gun Trigger
Mmmh sio kweli, my brother anaishi mwenyewe lakin ni msafi na yuko organized kinyama,jirekebishe
 
Yani kuhusu nyeto napiga sana, tena sasa hiv nina ma group ya porn ya kutosha..

Nb: kuacha porn ni kazi sana, labda kichwa ya gegedo ipate jeraha kubwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Jitahid uache mkuu mi nimeacha nina wiki sasa

Sent using Gun Trigger
 
Mmmh sio kweli, my brother anaishi mwenyewe lakin ni msafi na yuko organized kinyama,jirekebishe
Huyo bado mgen kweny ubachela anaeweza kuwa hivyo ni demu tu
Bachela huwez kudeki kila siku kubadilisha mashuka baada ya siku mbili, kupanga kila kitu kiwe sehem yake kila wakat hiyo ni ngum sana,
Labda usikie Kuna wagen wanakuja ndo utapiga usafi kila kitu kikae sehem yake
Sent using Gun Trigger
 
Kutokufua nguo kumetokana na malezi maisha bora house girl anakufanyia kila kitu.

Hapo kwa tuliolelewa kinunda huwezi kukuta geto chafu,eti nguo chafu, eti hujui kupika.

Kwangu akija demu kunipikia au kunifulia ni mwiko atapata kilimleta anasepa.
Adv & disadvantage.
Hasara
1.geto kugeuka stoo
2.kuzirudia rudia nguo kuvaa bila kufua
3.kufanya usafi geto hadi uwe na mihadi na demu
4.upigaji wa nyeto usiniambie hupigi punyeto endapo wewe ni bachelor
5.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bado mgen kweny ubachela anaeweza kuwa hivyo ni demu tu
Bachela huwez kudeki kila siku kubadilisha mashuka baada ya siku mbili, kupanga kila kitu kiwe sehem yake kila wakat hiyo ni ngum sana,
Labda usikie Kuna wagen wanakuja ndo utapiga usafi kila kitu kikae sehem yake
Sent using Gun Trigger
Mmh haya endelea vivyo hivyo huo ndio ubachela wa kweli, unaonekana hata boksa unaweza ukaiweka kwenye sufuria 😂😂😂
 
Back
Top Bottom