Kero na karaha ya maisha ya kibachela

Kero na karaha ya maisha ya kibachela

ukipika ugali una testia ukutani unavurumusha tonge moja hadi ukutani likinata ugali ni mbichi 100%
 
kugundua chumba kina harufu mbaya pale unapotoka kuoga tu, bahati mbaya ni kwamba hata hautokiangaikia untill the next visit of your GF
 
*unaweza kupika ugali hadi ukaungua lakin usiive
*Unaweza kuacha kupika kisa unaona uvivu kuosha vyombo
*Friji inaweza kugeuka kuwa kabati kila kitu unaweka huko kikombe,sahan, sukari majani ya chai n.k
*Unaweza kuondoka kwenda kazini na remote ya radio ukijua ni simu
*Unaweza kulala mwezi mzima bila kufua wala kubadilisha mashuka

Sent using Gun Trigger
1. Kufua net ni mziki.
2. Nikiziloweka nguo hadi siku 3 au zaidi
3. Zikifuliwa nguo, nazikusanyia kwa bed hata wiki kabla kunyooshwa.
4. Vyakula vingi vimo geto ila kinachopikwa zaidi ni chai, tangawizi na maziwa tu.
Uvivu wa kupika, hasa kuosha vyombo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom