Wilbert255
Member
- Apr 15, 2020
- 27
- 28
Na ukishika simu yenye bando hasa kuanzia GB 1, basi shetani anakuwa na kiherehere unajikuta ghafla uko kwenye site pendwa
sawa katibu mpatie kitabu cha sheria huyu anaonekana mgeni chamani
Hakuna mwanaume ambae hapitii hii mikasa ase labda uendlee kulelewa na baba na mama ila ukiamua kwenda kujitafutia ni lazma ukutane nazo hizi mambo hasa katika kipind cha ubachelaAisee unaonekana upo rafu[emoji41]
Na ukishika simu yenye bando hasa kuanzia GB 1, basi shetani anakuwa na kiherehere unajikuta ghafla uko kwenye site pendwa
Umejitahidi nipe siri ya mafanikio siku nne bila punyetoNyet* mi nimeacha mkuu sijapiga leo siku ya nne ila sikushauri uache ni kaz sana
Sent using Gun Trigger
Mmmh sio kweli, my brother anaishi mwenyewe lakin ni msafi na yuko organized kinyama,jirekebisheHakuna mwanaume ambae hapitii hii mikasa ase labda uendlee kulelewa na baba na mama ila ukiamua kwenda kujitafutia ni lazma ukutane nazo hizi mambo hasa katika kipind cha ubachela
Sent using Gun Trigger
Mmmh sio kweli, my brother anaishi mwenyewe lakin ni msafi na yuko organized kinyama,jirekebishe
Jitahid uache mkuu mi nimeacha nina wiki sasaYani kuhusu nyeto napiga sana, tena sasa hiv nina ma group ya porn ya kutosha..
Nb: kuacha porn ni kazi sana, labda kichwa ya gegedo ipate jeraha kubwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unamtetea kwa sababu ni Kaka yako![emoji6][emoji6][emoji6]Mmmh sio kweli, my brother anaishi mwenyewe lakin ni msafi na yuko organized kinyama,jirekebishe
Huyo bado mgen kweny ubachela anaeweza kuwa hivyo ni demu tuMmmh sio kweli, my brother anaishi mwenyewe lakin ni msafi na yuko organized kinyama,jirekebishe
Adv & disadvantage.
Hasara
1.geto kugeuka stoo
2.kuzirudia rudia nguo kuvaa bila kufua
3.kufanya usafi geto hadi uwe na mihadi na demu
4.upigaji wa nyeto usiniambie hupigi punyeto endapo wewe ni bachelor
5.
Hiyo ulitakiwa ufundishwe nyumbani na mama toka unakua ungekua ushazoea kuwa msafi an organized.Nifundishe mimi niwe kama yeye
Hiyo ulitakiwa ufundishwe nyumbani na mama toka unakua ungekua ushazoea kuwa msafi an organized.
Mmh haya endelea vivyo hivyo huo ndio ubachela wa kweli, unaonekana hata boksa unaweza ukaiweka kwenye sufuria πππHuyo bado mgen kweny ubachela anaeweza kuwa hivyo ni demu tu
Bachela huwez kudeki kila siku kubadilisha mashuka baada ya siku mbili, kupanga kila kitu kiwe sehem yake kila wakat hiyo ni ngum sana,
Labda usikie Kuna wagen wanakuja ndo utapiga usafi kila kitu kikae sehem yake
Sent using Gun Trigger