Kero na karaha ya maisha ya kibachela

ukipika ugali una testia ukutani unavurumusha tonge moja hadi ukutani likinata ugali ni mbichi 100%
 
kugundua chumba kina harufu mbaya pale unapotoka kuoga tu, bahati mbaya ni kwamba hata hautokiangaikia untill the next visit of your GF
 
1. Kufua net ni mziki.
2. Nikiziloweka nguo hadi siku 3 au zaidi
3. Zikifuliwa nguo, nazikusanyia kwa bed hata wiki kabla kunyooshwa.
4. Vyakula vingi vimo geto ila kinachopikwa zaidi ni chai, tangawizi na maziwa tu.
Uvivu wa kupika, hasa kuosha vyombo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…