Mpaka nimefika hapa nipo kamiligado bahat mbaya mm ni hater wa michezo ya baba na mamaUmepata host?
Kama bado niambie nijitolee kukutembeza mjini, leo na kesho ni mapumziko so nina muda wa kutosha.
Vigezo na masharti:
1. Mizunguko inaanzia saa 8 mchana, hapo kila mtu anakuwa ameshakula.
2. Utachagua mahali popote utakapotaka kwenda, ila siyo kwenda kutembea kwa ndugu unaniacha nakusubiri
3. Chakula cha jioni ni gharama zangu
4. Siku ya kwanza ambayo ni leo kukutembeza ni bure kabisa
Siku ya pili:
Hii itategemea na chemistry iliyoibuka kati yangu na wewe, i.e
1. Kama hakuna chemistry tusitafutane.
2. Kama chemistry imekubali, basi asubuhi tunaanza na biology (mchezo wa baba na mama), then mizunguko inaanza, na baadae ukipenda tunarudia game kutokana na performance ya game ya 1. Kama game 1 ilidissapoint tukimaliza mizunguko nakurudisha ulipofikia naendelea na maisha yangu.
PM iko wazi kama umeafiki.
Kwani ujawahi kula bamia?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mpaka nimefika hapa nipo kamiligado bahat mbaya mm ni hater wa michezo ya baba na mama
Nadhani hapa kuna zaidi ya Dar[emoji2] [emoji2]Kama si mzoefu wa dar ukikaa week unaweza kuisi uko kifungoni.
Dar kuna kero nyingi lile jiji kuna haja ya kulipanua kweli kweli
kabisa erooHakuna mahali kama ARUSHA.
Sio Kwa mashart hayo magumu
Nadhani Sasa hivi wanajitahidi kulipanua ndio maana utaona miundo hadi pembezoni huko inaboreshwa huenda jiji likawa Na ahueni.Kama si mzoefu wa dar ukikaa week unaweza kuisi uko kifungoni.
Dar kuna kero nyingi lile jiji kuna haja ya kulipanua kweli kweli
Kimara mpaka masaki masaa ma5? Kweli wewe hapa mjini mgeni, tuulize sisi wengine kwanini tutatumia dk 25 tu kufika
Mjini lazima uchangamke unafikiri kama chato ambako mapunda yanawasubiri mvuke barabara ndo nayo yapite? Hapa lazima kichwa kichemke. huku boda boda huku gari huku mwendokasi cha ajabu ajali inatokea baina ya watembea kwa miguu wenyewe.
Karibu mjini anyway.
Kuna bamia ya kijani na bamia nyeusi! Ushawahi kula ipi?Tungo tata
Sio kwetu ndo maana nimezoea Dodoma ukiachwa na ndege unatembea mpaka stand ya mabasi na ukiachwa na basi unatembea mpaka steshen Kwa mguu dkk 2 sio ubungo mpaka airport masaa 3 safar ya Dar mpaka MoroKimara mpaka masaki masaa ma5? Kweli wewe hapa mjini mgeni, tuulize sisi wengine kwanini tutatumia dk 25 tu kufika
Mjini lazima uchangamke unafikiri kama chato ambako mapunda yanawasubiri mvuke barabara ndo nayo yapite? Hapa lazima kichwa kichemke. huku boda boda huku gari huku mwendokasi cha ajabu ajali inatokea baina ya watembea kwa miguu wenyewe.
Karibu mjini anyway.
kwa huu ulafi rudi tu huko kijijini ambapo umeme unapatikana masaa24Bora umenikumbusha jana nimepata maeneo nikakuta wanaume kama 7 wanakula chips kidar na soda mm nkmefika nikaagiza ugali Tena upo Kama ngumi nilimwambia mhudumu ongeza na mwingne watu wote wakanishangaa nikanunua na Coca ya moto nikashushia sitak kuumwa koo na vitu vya baridi nikachukua na maji ya seque kubwa nikashushia macho yote kwangu