Kero nilizokutana nazo Dar natamani kurudi mkoani

Kero nilizokutana nazo Dar natamani kurudi mkoani

Mkon ninakoishi nalala
Bila feni
Bila neti
Hata siku mbili naweza lala bila kuoga
Pia naweza kulala na nguo nilizoshinda nazo kutwa

Hvyo nikienda dar wiki moja tu inanitosha maana nahis kama nipo jeshini
 
Umepata host?

Kama bado niambie nijitolee kukutembeza mjini, leo na kesho ni mapumziko so nina muda wa kutosha.

Vigezo na masharti:
1. Mizunguko inaanzia saa 8 mchana, hapo kila mtu anakuwa ameshakula.
2. Utachagua mahali popote utakapotaka kwenda, ila siyo kwenda kutembea kwa ndugu unaniacha nakusubiri
3. Chakula cha jioni ni gharama zangu
4. Siku ya kwanza ambayo ni leo kukutembeza ni bure kabisa

Siku ya pili:
Hii itategemea na chemistry iliyoibuka kati yangu na wewe, i.e

1. Kama hakuna chemistry tusitafutane.
2. Kama chemistry imekubali, basi asubuhi tunaanza na biology (mchezo wa baba na mama), then mizunguko inaanza, na baadae ukipenda tunarudia game kutokana na performance ya game ya 1. Kama game 1 ilidissapoint tukimaliza mizunguko nakurudisha ulipofikia naendelea na maisha yangu.

PM iko wazi kama umeafiki.
Mpaka nimefika hapa nipo kamiligado bahat mbaya mm ni hater wa michezo ya baba na mama
 
Kimara mpaka masaki masaa ma5? Kweli wewe hapa mjini mgeni, tuulize sisi wengine kwanini tutatumia dk 25 tu kufika

Mjini lazima uchangamke unafikiri kama chato ambako mapunda yanawasubiri mvuke barabara ndo nayo yapite? Hapa lazima kichwa kichemke. huku boda boda huku gari huku mwendokasi cha ajabu ajali inatokea baina ya watembea kwa miguu wenyewe.

Karibu mjini anyway.
 
Sio Kwa mashart hayo magumu

Hayo yameonekana magumu kwa vile nimeyataja, lakini kiuhalisia hilo lingeenda kutendeka kama tungekubaliana tuzunguke pamoja.

Imagine, nakufata uliko, tunaenda kutembea mahali unakotaka, then tunaenda kula samaki waliovuliwa muda huo huo Kawe Beach, tunakunywa kidogo, kama unapenda muziki leo Dar nzima ni muziki tu, so tunaenda unacheza wee, then unasema nikurudishe ulikofikia, njia nzima naendesha huku nakusifia sifia uongo na kweli.

Nikichombeza nataka huwezi jua utashangaa mwenyewe umevua. Sasa kwa sababu nimeiweka kwenye vigezo na masharti ndo tabu.
 
Kama si mzoefu wa dar ukikaa week unaweza kuisi uko kifungoni.

Dar kuna kero nyingi lile jiji kuna haja ya kulipanua kweli kweli
Nadhani Sasa hivi wanajitahidi kulipanua ndio maana utaona miundo hadi pembezoni huko inaboreshwa huenda jiji likawa Na ahueni.
 
Kimara mpaka masaki masaa ma5? Kweli wewe hapa mjini mgeni, tuulize sisi wengine kwanini tutatumia dk 25 tu kufika

Mjini lazima uchangamke unafikiri kama chato ambako mapunda yanawasubiri mvuke barabara ndo nayo yapite? Hapa lazima kichwa kichemke. huku boda boda huku gari huku mwendokasi cha ajabu ajali inatokea baina ya watembea kwa miguu wenyewe.

Karibu mjini anyway.

Mkuu kama aliingia Dar Jana ni sahihi, maana njia zote zilifunga kwa sababu ya mvua. Labda waenda kwa bodaboda.
 
Kimara mpaka masaki masaa ma5? Kweli wewe hapa mjini mgeni, tuulize sisi wengine kwanini tutatumia dk 25 tu kufika

Mjini lazima uchangamke unafikiri kama chato ambako mapunda yanawasubiri mvuke barabara ndo nayo yapite? Hapa lazima kichwa kichemke. huku boda boda huku gari huku mwendokasi cha ajabu ajali inatokea baina ya watembea kwa miguu wenyewe.

Karibu mjini anyway.
Sio kwetu ndo maana nimezoea Dodoma ukiachwa na ndege unatembea mpaka stand ya mabasi na ukiachwa na basi unatembea mpaka steshen Kwa mguu dkk 2 sio ubungo mpaka airport masaa 3 safar ya Dar mpaka Moro
 
Bora umenikumbusha jana nimepata maeneo nikakuta wanaume kama 7 wanakula chips kidar na soda mm nkmefika nikaagiza ugali Tena upo Kama ngumi nilimwambia mhudumu ongeza na mwingne watu wote wakanishangaa nikanunua na Coca ya moto nikashushia sitak kuumwa koo na vitu vya baridi nikachukua na maji ya seque kubwa nikashushia macho yote kwangu
kwa huu ulafi rudi tu huko kijijini ambapo umeme unapatikana masaa24
 
Back
Top Bottom