Wajanja pekee watakuelewaHakuna mahali kama ARUSHA.
Kwel mkuu,Dar hauchagui ukichagua imekula kwako,utafika kwako saa 6-8 usikuUnachagua mpaka haisi ya kupanda Kwa raha
Nikweli bana mimi pia nahamaHabar wana JF
Bora tu makao makuu yahamie Dodoma sioni raha ya kubaki Dar .
Jana naingia dar nakaribishwa na mvua
Umeme hakuna
Joto balaa
Watu wa Dar karibuni mkoani mpate raha Kwanza sisi Umeme unapatikana masaa 24.
Alafu foleni yani unatembea Kimara hadi Masaki masaa 5 kuna raha gani.
Ndo maana mkulu anataka kuhamia Dodoma sio Kwa Kero hizi.
Ila Dar kuzuri tatizo Kero zake tu ndo zinakatisha tamaa.
We nawe Kama jinga mxeew umeishia daras la ngapi hata hujui kusomNimenote vitu 3
1 mgeni
2 umetembea kwa miguu umesema
3. Masaki
Huyu jamaa anahitaji msaada jaman kwa anatutambia kuwa alikuwa anaenda masaki sasa ilikuwaje utembee..
Hela za watu ulizipata?Habar wana JF
Bora tu makao makuu yahamie Dodoma sioni raha ya kubaki Dar .
Jana naingia dar nakaribishwa na mvua
Umeme hakuna
Joto balaa
Watu wa Dar karibuni mkoani mpate raha Kwanza sisi Umeme unapatikana masaa 24.
Alafu foleni yani unatembea Kimara hadi Masaki masaa 5 kuna raha gani.
Ndo maana mkulu anataka kuhamia Dodoma sio Kwa Kero hizi.
Ila Dar kuzuri tatizo Kero zake tu ndo zinakatisha tamaa.
nakubaliana na wewe mzeebaba..nipo huku dar kwa muda,kuna kaishu na kapiga yani natamani iishe chap nirudi Arusha...kiufupi hili jiji limenishinda kabisaaa yani kila kitu keroo kuanzia usafiri,joto,uchafu ahhrrggggg this is the worst place to live in Tz.Hakuna mahali kama ARUSHA.