Kero nilizokutana nazo Dar natamani kurudi mkoani

Kero nilizokutana nazo Dar natamani kurudi mkoani

Nimenote vitu 3
1 mgeni
2 umetembea kwa miguu umesema
3. Masaki
Huyu jamaa anahitaji msaada jaman kwa anatutambia kuwa alikuwa anaenda masaki sasa ilikuwaje utembee..
 
Habar wana JF
Bora tu makao makuu yahamie Dodoma sioni raha ya kubaki Dar .
Jana naingia dar nakaribishwa na mvua
Umeme hakuna
Joto balaa
Watu wa Dar karibuni mkoani mpate raha Kwanza sisi Umeme unapatikana masaa 24.
Alafu foleni yani unatembea Kimara hadi Masaki masaa 5 kuna raha gani.
Ndo maana mkulu anataka kuhamia Dodoma sio Kwa Kero hizi.

Ila Dar kuzuri tatizo Kero zake tu ndo zinakatisha tamaa.
Nikweli bana mimi pia nahama
 
SASA WEWE MSUKUMA NA DAR WAPI NA WAPI? ULITEGEMEA UTAENDESHA BAISKELI AU TRAFIC LIGHTS ZIONGOZE PUNDA? EBU RUDI KWENU CALL ME J
 
Nimenote vitu 3
1 mgeni
2 umetembea kwa miguu umesema
3. Masaki
Huyu jamaa anahitaji msaada jaman kwa anatutambia kuwa alikuwa anaenda masaki sasa ilikuwaje utembee..
We nawe Kama jinga mxeew umeishia daras la ngapi hata hujui kusom
 
Umeme sasaiv kila sehem, joto lazima kwa kua kumezungukwa na bahari labda uyo folen
 
Habar wana JF
Bora tu makao makuu yahamie Dodoma sioni raha ya kubaki Dar .
Jana naingia dar nakaribishwa na mvua
Umeme hakuna
Joto balaa
Watu wa Dar karibuni mkoani mpate raha Kwanza sisi Umeme unapatikana masaa 24.
Alafu foleni yani unatembea Kimara hadi Masaki masaa 5 kuna raha gani.
Ndo maana mkulu anataka kuhamia Dodoma sio Kwa Kero hizi.

Ila Dar kuzuri tatizo Kero zake tu ndo zinakatisha tamaa.
Hela za watu ulizipata?
 
Kuna kaka zako. Kila siku wanajazana kwenye mabasi kuja dar. Kutafuta maisha.
 
Hakuna mahali kama ARUSHA.
nakubaliana na wewe mzeebaba..nipo huku dar kwa muda,kuna kaishu na kapiga yani natamani iishe chap nirudi Arusha...kiufupi hili jiji limenishinda kabisaaa yani kila kitu keroo kuanzia usafiri,joto,uchafu ahhrrggggg this is the worst place to live in Tz.
 
Back
Top Bottom