KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Nimesoma taarifa ya kero stendi ya Moshi, mkoani Kilimanjaro na nimeona hao viongozi wa mji ni bure kabisa.
Watu wananyang'anywa mizigo, kukatiwa tiketi nje ya ofisi, tena mtu mmoja anakata tiketi kwa mabasi hadi saba, wakiwa wamelewa, wachafu hawaogi, lugha za matusi, kupora pesa abiria anapotoa nauli na hata wakati mwingine kupigwa, halafu wakuu wanaulizwa kulikoni? wanajibu! waache wanatafuta riziki kwani hakuna ajira, tukiwazuia tutaongeza vibaka mitaani, hivyo itakuwa shida kwa wakaazi wa Moshi.
Hivi hao wanaofanyiwa usmbufu stendi sio watu, na hao mnaoogopa kusumbuliwa mitaani ni malaika? Acheni hizo chukueni hatua kwani wanaweza kujiajiri kwa mpangilio mzuri tu bila kusumbua abiria. Vongozi fanyeni kazi. KamaMoshi imewashinda miji mikubwa mtaweza?