Kero sugu ya shida ya mtandao NMB fanyeni marekebisho

Wakuu habari za jioni hii

Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
Mtandao unasumbua hadi kwenye ATMs
Mambo ya ajabu kabisa
 
Me nipo kijijin sasa nisije haribu ka elfu 5 kangu ka nauli nikashindwa kurudi na fedha nikakosa
 
Wakuu habari za jioni hii

Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
Sio kweli. Mbona nimefanya miamala tangu jana mpaka leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…