Gesi si mnayo hapo uani tu sasa imekuaje? Mambo ya Niger hayo wana Uranium Ila umeme hawanaMtwara mjini umeme unakatika hovyo bila taarifa yoyote.
Ni siku ya nne sasa toka huu mchezo uanze kufanyika. Tunateseka, baadhi ya vifaa vyetu vinavyotegemea umeme vinaharibika kwa kupata shoti kisa ya umeme kukatika hovyo hovyo. Umeme ukirudi haukai hata unakatwa tena.
Tunashindwa kufanya mambo mengine kwa sababu ya umeme kukatika hovyo hovyo!!!
Wewe chawa?Hamia Msumbiji au Burundi
Ndiyo mimi chawa wa mwenyekiti wangu wa CCM taifa Dkt Samia. Unasemaje?Wewe chawa?
Kuna chawa wa aina mbili wewe ni yupi unajua kutaga kwanza?Ndiyo mimi chawa wa mwenyekiti wangu wa CCM taifa Dkt Samia. Unasemaje?
Yan gesi yenyew bei kuliko hata za mikoa mingine.Gesi si mnayo hapo uani tu sasa imekuaje? Mambo ya Niger hayo wana Uranium Ila umeme hawana
Kwakweli yaan arudishwe tu!! Maana umeme ulikua ukikatika taarifa mnayo sio saiv kero tupu.Ni nchi zima hili jambo la umeme kukatika sio Mtwara tu usipo katika kwa siku mpaka mnajiuliza kunani huko ,yaani Tanzania sijui nini ,excuses zimekuwa nying kuhusiana na kukatika kwa umeme ,mbona majirani zetu hatusikii hizi complaints labda kalemani arudishwe tena tuone kasi yake tena kama kipindi cha jpm .
Khaaa ni htr!!Hata baadhi ya maeneo ya Dar ni hivyohivyo, umeme unakatika na kurudi almost mara 7 kwa siku
Gesi si mnayo hapo uani mnaokoteza tu km ilivyo dhahabu kule Geita, nyinyi ni matajiri wa GesiYan gesi yenyew bei kuliko hata za mikoa mingine.
Last week,tanesco wamesema kuna ongezeko kubwa la matumizi ya umeme,as if hawajui kuwa watu wanapenda standard kadri nchi inavyoendeleaMwendazake alioata nafuu Kwa sababu biashara ziliporomoka uhitaji wa umeme ulikuwa mdogo na pia alidhibiti taarifa hakuna kuripoti.
Kama hapa ungeripoti ungeshatafutwa ,
Wanajua Sasa kama wanapewa hela kidogo na Serikali unategemea wafanyaje?Last week,tanesco wamesema kuna ongezeko kubwa la matumizi ya umeme,as if hawajui kuwa watu wanapenda standard kadri nchi inavyoendelea
Tumepoteana kama man united last week na Arsenal,tatizo watawala hawajajua wananchi wanajituma kiasi gani ili wapate basic need wao wanaendelea na zama za fikra sahihi za mwenyekiti,hapa ccm wajipange,hivi sasa kila familia inataka maji na huduma zote at a door step,shida hawa wa Ubirigiji nao hawana alternative political plan.Gesi si mnayo hapo uani mnaokoteza tu km ilivyo dhahabu kule Geita, nyinyi ni matajiri wa Gesi