Kero: TBC punguzeni kutuwekea nyimbo za taarabu asili mnaboa

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Hakika sikio la Kufa halisikii dawa

Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo

Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa

Acheni mambo yenu TBC embu mrudi kama zaman enzi za TIddo mlikuwa mnaonyesha burudan za maigizo ya ndan na nje ya nchi mfano make wangu alikuwa anapenda Sana ile amthilia yenu ya La Revancha, jumba la dhahabu n.k lkn kwa upande wenu NI tofauti nyie hata ile TBC 2 ni hakuna kitu kabisaaa

Mnashindwa kuonyesha at AFCON 2022 ,
 
Wanakwenda na uongozi wa nchi ili kuwafurahisha na kuwapendeza kwani hujui kuwa ni mziki wa mwambao?Mwambao kwenyewe si unapajua?.Nyie wengine shauri yenu bado mnanganga na ili litboc.Mimi hayo machannel yao niliyablock kwenye king'amuzi cha familia.Tumekubaliana hivyo.Endelea kununua hiza channel halafu wanakulisha .....................
 
Braza nunua kifurushi utaachana na haya makasiriko yanayotokana na kuangalia TBCCM kwa lazima.
 
Kwa hiyo unataka na sisi wapenda Slow Taarab ,tufuate matakwa ya mkeo!
Kumbe TBC wanapiga hizi Taarabu za Mahaba(◍•ᴗ•◍)❤.....nitarudi !
Vipu Yale matangazo ya Kishindo Cha ......bado yapo?!!😂
 
Dawa ni kununua kifurushi2 TBC kifupi hawana mvuto Binafsi kwa mapenzi mema tu hupendelea safari channel lakini nayo ni marudio tu hawana ubunifu wala jipya lolote tafadhalini jamani tutendeeni haki ni kodi zetu Hizo, acheni kujipendekeza na Hizo taarab asilia hapo mna lenu jambo au ndio mnasindikiza mwezi wa mama?
 
Taarsbu asili ipo mzuka sana,
Kazi iendeleeee
 
Hakika sikio la Kufa halisikii dawa

Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo

Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa

Acheni mambo yenu TBC embu mrudi kama zaman enzi za TIddo mlikuwa mnaonyesha burudan za maigizo ya ndan na nje ya nchi mfano make wangu alikuwa anapenda Sana ile amthilia yenu ya La Revancha, jumba la dhahabu n.k lkn kwa upande wenu NI tofauti nyie hata ile TBC 2 ni hakuna kitu kabisaaa

Mnashindwa kuonyesha at AFCON 2022 ,
Dah unanikumbusha mbali Sana La revancha nilikuwa bado mdogo sana teenager. Kuna hii ilikuwa inaitwa the gardeners daughter na nunca te dire adios. Wakati huo wa akina pendaeli omar elisha eliya Baruan muhuza marin hasan marin florian dihaule
 
Hakika sikio la Kufa halisikii dawa

Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo

Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa

Acheni mambo yenu TBC embu mrudi kama zaman enzi za TIddo mlikuwa mnaonyesha burudan za maigizo ya ndan na nje ya nchi mfano make wangu alikuwa anapenda Sana ile amthilia yenu ya La Revancha, jumba la dhahabu n.k lkn kwa upande wenu NI tofauti nyie hata ile TBC 2 ni hakuna kitu kabisaaa

Mnashindwa kuonyesha at AFCON 2022 ,
Bado unaangalia TBC!?!
 
Inaendana na aliyemo ikulu.
 
Hebu tulia...Hizo nyimbo ndio "mama" huwa anazipenda
 
Back
Top Bottom