luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Dah unanikumbusha mbali Sana La revancha nilikuwa bado mdogo sana teenager. Kuna hii ilikuwa inaitwa the gardeners daughter na nunca te dire adios. Wakati huo wa akina pendaeli omar elisha eliya Baruan muhuza marin hasan marin florian dihauleHakika sikio la Kufa halisikii dawa
Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo
Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa
Acheni mambo yenu TBC embu mrudi kama zaman enzi za TIddo mlikuwa mnaonyesha burudan za maigizo ya ndan na nje ya nchi mfano make wangu alikuwa anapenda Sana ile amthilia yenu ya La Revancha, jumba la dhahabu n.k lkn kwa upande wenu NI tofauti nyie hata ile TBC 2 ni hakuna kitu kabisaaa
Mnashindwa kuonyesha at AFCON 2022 ,
Bado unaangalia TBC!?!Hakika sikio la Kufa halisikii dawa
Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo
Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa
Acheni mambo yenu TBC embu mrudi kama zaman enzi za TIddo mlikuwa mnaonyesha burudan za maigizo ya ndan na nje ya nchi mfano make wangu alikuwa anapenda Sana ile amthilia yenu ya La Revancha, jumba la dhahabu n.k lkn kwa upande wenu NI tofauti nyie hata ile TBC 2 ni hakuna kitu kabisaaa
Mnashindwa kuonyesha at AFCON 2022 ,
Ni mzalendo sana huyoBado unaangalia TBC!?!
Inaendana na aliyemo ikulu.Hakika sikio la Kufa halisikii dawa