Hili la viti kuchoka, mkuu hapo ni usimamiz mbovu tu...ukiangalia viwanja vya ulaya unakuta Wana funika viti na Yale maturubai huzuia viti kuchoka.Tff na wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie...
Huu uwanja ni wa Serikali! tunaomba sana Serikali kupitia Wizara ya Michezo iangalie suala la ukarabati wa uwanja huu ambao unaitangaza TanzaniaTff na wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie...
Mkuu wangu usisikitike sana, wala sio uwanjani tu. Nenda vyuoni ambako tunasema kuna “wasomi” tunakowaandaa wakasimamie uwanja wa mkapa😂😂😂TFF ya hovyo na ya mchongo,utachukuaje % ktk kila mechi halafu hufanyi marekebisho?
Hakuna kitu kibaya kama umebanwa na mkojo unaenda kukojoa kwenye vyoo vya uwanjani pale unakuta mikojo imejaa kama mafuriko hata pa kukanyaga hakuna na maji hayatoki...
Tff na wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kuhusu vyoo Hali ni mbaya na mabomba yametolewa maji hayatoki ni aibu tupu nimeshaacha kwenda uwanjani mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wangu usisikitike sana, wala sio uwanjani tu. Nenda vyuoni ambako tunasema kuna “wasomi” tunakowaandaa wakasimamie uwanja wa mkapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu kama huyo ndio anakua officer baadae
Na wala usisikitike sana, ni tatizo la bara letu zima
Tujipe pole na kushushia Pepsi bariidi
Wanaosimamia huo uwanja wajitafakari kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo umetajwa kama mfano tu!
Wenye akili zilizonyooka wameelewa...
Wenye akili tunajua huyo mwenye uzi ni mikia. Kawadanganye mburula wenzio
Tff na wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie...
Nikiwa uwanjani hua sipatwi na haja mie. [emoji23][emoji23][emoji23]Wanaosimamia huo uwanja wajitafakari kwa kweli