Kero uwanja wa Benjamini W. Mkapa! Hali ni mbaya

Kero uwanja wa Benjamini W. Mkapa! Hali ni mbaya

Muafrica ni mtu wa mwituni alistahili kutawaliwa.

Uwanja unaingiza mapato kila mwaka Ila unashindwa kutenga asilimia kadhaa kwa ajili ya maintenance ya uwanja. This is so sad!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tff na wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie...
Hili la viti kuchoka, mkuu hapo ni usimamiz mbovu tu...ukiangalia viwanja vya ulaya unakuta Wana funika viti na Yale maturubai huzuia viti kuchoka.

Sasa hapa bongo Wana viacha wazi tu so just Lina tandikaaa then vikipoa ...happy no habari ya science sasa
 
Sherehe za miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, tumeshuhudia wageni kutoka mbali wakialikwa. Hivi kweli hata bajeti ya kupaka rangi imekosekana?
 
Simba acheni kusingizia vitu.
Nyie si ndo Mling'oa viti sasa nani avirudishe?

Si mlisema mnahamia Zanzibar bado tu?
 
Tff na wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie...
Huu uwanja ni wa Serikali! tunaomba sana Serikali kupitia Wizara ya Michezo iangalie suala la ukarabati wa uwanja huu ambao unaitangaza Tanzania
 
TFF ya hovyo na ya mchongo,utachukuaje % ktk kila mechi halafu hufanyi marekebisho?

Hakuna kitu kibaya kama umebanwa na mkojo unaenda kukojoa kwenye vyoo vya uwanjani pale unakuta mikojo imejaa kama mafuriko hata pa kukanyaga hakuna na maji hayatoki...
Mkuu wangu usisikitike sana, wala sio uwanjani tu. Nenda vyuoni ambako tunasema kuna “wasomi” tunakowaandaa wakasimamie uwanja wa mkapa😂😂😂
Mtu kama huyo ndio anakua officer baadae
Na wala usisikitike sana, ni tatizo la bara letu zima

Tujipe pole na kushushia Pepsi bariidi
 
Ulipotaja tu GSM ndipo ulipoharibu uzi wako. Ina maana mikataba mingine huioni ila wa GSM tu ?
Tff na wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie...
 
Dah kuhusu vyoo Hali ni mbaya na mabomba yametolewa maji hayatoki ni aibu tupu nimeshaacha kwenda uwanjani mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wangu usisikitike sana, wala sio uwanjani tu. Nenda vyuoni ambako tunasema kuna “wasomi” tunakowaandaa wakasimamie uwanja wa mkapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu kama huyo ndio anakua officer baadae
Na wala usisikitike sana, ni tatizo la bara letu zima

Tujipe pole na kushushia Pepsi bariidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulipotaja tu GSM ndipo ulipoharibu uzi wako. Ina maana mikataba mingine huioni ila wa GSM tu ?

Huo umetajwa kama mfano tu!
Wenye akili zilizonyooka wameelewa...
 
Wenye akili tunajua huyo mwenye uzi ni mikia. Kawadanganye mburula wenzio

Huu uzi hujaletwa kiushabiki hapa, bila shaka utopolo wako umeshaingia kwenye sehemu yote ya ubongo wako!

Utopolo tabia zenu ni za kizwazwa sana, mnapoungana matahira kama wewe basi hata ishu yenue maslahi kwa taifa mnaleta ushabiki maandazi!

Ni vyema kwenye nyuzi kama hizi ukapita kimya kimya kama akili zako zimezubaa kama zako!
 
huku vijiweni wanasema Walio ujenga wenyewe wako jela huko china kwa kosa la kujenga chin ya kiwango Sasa sijui ni kweli au stori za kuuza alkasus
 
Tff na wizara ya michezo kwa ujumla pamoja na wahusika wengine wote akiwemo meneja wa uwanja, hili liwafikie...

Hapa ndipo huwa namkubali na kuzidi kumkumbuka sana Magufuli kwenye ukali na kuwapelekesha maviongozi mazembe kama haya yasiyojitambua hata kidogo

Haiwezekani Serikali inaingiza millions of money kwa mwezi kutokana na Michezo inayochezwa BWM Stadium alafu hakuna uboreshaji wowote wa maana unaofanyika zaidi ya uwanja kuzidi kuchakaa kila uchwao,,, chooni ni hakufai hakufai labda VIP A ndio kuna unafuu kwakuwa wakubwa wengi hupatumia

Hii ni aibu kubwa sana kwa uongozi wa uwanja, BMT, na Wizara ya michezo chini ya Bashungwa
 
Ili msikilizwe hoja zenu gomeni kuingia kutizama mpira. Wananchi waTz bn, tatizo umoja hamna kwenye kila kitu, hoja za kuhitaji mabadiliko kwenye makosa hutolewa na wachache mno, wengine wapogo kimya tu kama hawaoni, wanataka washtukie tu kuwa marekebisho yamefanyika.

Ndo maana napenda kuwaga mwenyewe mwenyewe tu maana wingi kwenye wajinga ni jau.
 
Back
Top Bottom