Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Sio ukame bwana.
Mimi nampenda mtoto ndio maana namlinda.
Nyie wote mmemtamani..
Mnataka kumpiga mtoto wangu kwa vile mkali afu mtokomee mumuache na maumivu.
Ndio maana nimekomaa na nyinyi na sitawapa nafasi.
Kwa espy keshaharibuu kamwita chalii Daby nae kamfukuzaa