Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hapo lazima mama yake alikuwa wanakusema sana. Dogo kakawa kanamezaKuna nyumba nlpanga zamanii.... Sasa nlkua nabadlisha madem kwa siku ata wa3 kilchokua kinankera n mtt wa mwenye nyumba mdogo ka miaka 7au9 Iv kakiniona tuu na dem kanaanza kuimba lova boy lava boy......nlkua nataman kukupiga kwenzi sema tuu kalkua kanaimba mbele ya mama ake
Ataree tupu unakuta wamekaa nje wengi sjui wengine walkua wanatokeaga wap... na nilkua nawakomesha napita nae pale pale af baada ya masaa ka3 Iv natoka nae namsindikiza. uzur walkua wananliogopa gwanda [emoji23][emoji23][emoji23]Hapo lazima mama yake alikuwa wanakusema sana. Dogo kakawa kanameza
kama gwada clear.. nyie jamaa wa gwanda pande hizo mnatisha sanaa.. na mtu akizinga mnatembeza kipigo ,, hako kadogo ungakapiga konzi moja kangetulizana sema tu hujakapa attention sanaAtaree tupu unakuta wamekaa nje wengi sjui wengine walkua wanatokeaga wap... na nilkua nawakomesha napita nae pale pale af baada ya masaa ka3 Iv natoka nae namsindikiza. uzur walkua wananliogopa gwanda [emoji23][emoji23][emoji23]
ushacheze kibami chako the whole night hujarizika sa hivi unanitolea macho kodo. we rudi tu mi sina kinyongo nitakupa dozi uliyoizoea bibie my lovMacho kuvimba utaisomaaaaa hahahaah
sitendi kwani hio njia ilijifunguaa.?Tatizo lako maneno meeeeengi.. Hutendi.. usser is a man of actions haha utamkubali utake usitake
Hahahaah hako katoto kalisikia wakubwa wakikujadili kakakaririKuna nyumba nlpanga zamanii.... Sasa nlkua nabadlisha madem kwa siku ata wa3 kilchokua kinankera n mtt wa mwenye nyumba mdogo ka miaka 7au9 Iv kakiniona tuu na dem kanaanza kuimba lova boy lava boy......nlkua nataman kukupiga kwenzi sema tuu kalkua kanaimba mbele ya mama ake
nikonde mara mbiliWivu utakukondesha ujue kwa staili hio mh!
nshakumisHahahaah hako katoto kalisikia wakubwa wakikujadili kakakariri
Khakhaakhaaaaa ila Afande wewe! DuhKero yangu ni majirani kupiga story za makanisani kwao kwanguvu,yaani sipendi,hebu cheki leo kitu walokuwa wana hadithiana.
Padri alikuwa anafuga kuku. Siku moja jogoo akapotea. Basi akaamua kutangaza Kanisani.
PADRI: Wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama.
PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.
PADRI: Loh! Hamjanielewa ndugu zanguni! Wangapi wamemuona jogoo wangu?? Masista wote wakasimama.
PADRI akapoteza fahamu...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huyo mtoto ana umri gani??Kwangu mie nina jirani ambae kwakweli huwa simwelewi kabisa
Mtoto wake akija kwangu kucheza na wanangu yaani ni kama vile hana mpango kabisa na mwane
Anaweza kumwacha mpaka hata usiku saa tatu hajaja kumchukua mwanae na msipochukua jukumu la kumrudisha anaweza hata mkalala nae
Mbaya zaidi katoto ukikaangalia kana vitabiaaa..... !! yaani ni shida tupu katoto wala hafikirii kwao yaani ni kama vile na kenyewe kamefika
Tabia hii huwa inanikera sana
Si kwamba sipendi watoto lakini mtoto wa mtu ni wa mtu tu
We jirani yangu mama nanihii.... hebu badilika aise mpende wanao mbona mie wangu hawakuji kwako mala kwa mala au unataka kunisusia mwanao nimlee mie?
Acha hizo aise
Siku nyingine ntakutaja jina kama mbwai na iwe
Katoto ka kike kinaitwa ........Huyo mtoto ana umri gani??
Hiv hii ni picha yako kabisaThank you