Kero vituko na vioja vya majirani

Kero vituko na vioja vya majirani

Duu..sasa sijuwi nifanyaje..maana nilipokuwa nimepanga magomeni..nilikuwa akija DEMU wangu...ukitaka kutoka unakuta wake wapangaji mwenzangu...au mama mwenye nyumba wamekaa ukumbini wanatia story..au wamekaa tu barazani wakisubiri nitatoka SAA ngapi?.na kimara pia ndio balaa...wanachungulia madirishani kupitia kwny nyumbani ZAO...hii hatari...
Teh hao wanasikilizia Mziiiki wako hao! Labda duu analalamika sana
 
Ila mie kero kubwa ambayo inaniboa kwa majirani wa kwetu kupiga chambo ukiwa ndani sita kwa sita hili bana ni tatizo sugu mno sijapata kuona hata kama umezima taa wako radhi wasiklize sauti hata volume iwe chini vipi hawaondoki ndo kero ambayo imenishinda tabia
 
Hahahaahhahahaahahahahaha hio kwa 95% haiepukiki! Kwa jins watz tulivo wambea sidhani
 
Teh hao wanasikilizia Mziiiki wako hao! Labda duu analalamika sana
Labda pengine..ila huku kimara nyumba Ina geti ..nikiingia nafunga geti...sio rahisi kusikia MIVUMO...ila shida yao sijuwi nini hasa wakishaona wanapata faida gani...vicheko vya nguvu nyuma yangu nikimsindikiza kituoni...kuna kipindi nikawa natumia mlango wa uwani...pia wakahamia upande wa uani
 
mkuu pole sana kwa hiyo mikasa ya huyo neighbour wako naweza nkasema kwako ni afadhali though it is so tough at your side mie kwangu ni more than wonders yani,

√huyu jirani yangu hapa next to me ni about miezi mi tisa sijawahi muona but siku moja tu ya jumuiya na hanaga time, only najua kuna mdada next to me ame rent but huwanga navizia siku nimuone hata single hour but naskianga mtu kaingia ndani kawasha taa for a minutes then kazima analala,huwa napatanga wakati mgumu sababu as i tried to show up my presence to her kama jiraniseems like huongeza more step forward kwangu me, bad enough our house master huwanga anaishi kwingine kabisa , its me & her , huwanga anaga time nami,napenda sana sturbon kama hizo za hapa na pale za neighbour kupiga redio kwa sauti, kuombana free time but its better for you asee....
 
Mm uwa ni kero kwa majirani wangu ninapo ishi ni karibu sana na msikiti ukizunguka nyuma tu ya nyumba msikiti upo na majirani wote ni waislam mm uwa na kerwa sana na adhana nilichofanya nimenunua redio nimeunga na spika za kwanzia asubuhi paka asubuhi ni kwaya na sauti ni ya mwisho wanatamani ata waniamishe ila wameshindwa kunakipindi nachoma mauchafu walikuja wakaweka kuruani wakaniambia nimechoma kuruani yao wakataka kuchoma nyumba wakashindwa wamenikomoa walikuja wakaiba redio yangu nipo najipanga ninunue nyingine mto uwe ule ule ikiwezekana niazishe na maombi ya usiku kwangu
Heshimu imani za wengine kaka. Religious tolerance ni very necessary, or you may sell that plot and buy far away. Ingawa itakuwa kukimbia tatizo na sio suruhu maana tunategemeana.

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
wao wanaroho mbaya sana waliniibia redio yangu walitaka kuchoma nyumba wahame wao situkani mtu ni mziki wangu wa injili mwanzo mwisho ikifika mwenzi wa ramadhani uwa natamani kuhama kwasababu sala inaisha saa tano inaanza saa kumi
 
Mimi pia ni muhanga wa hao watu, katika ukoo wetu ni mchanganyiko wa waislamu na wakristo babu zetu walipokea dini zote 2, katika vikao vya kuamua mambo muhimu ya ukoo ni wabishi sana, tena hutuchukulia wote waislamu. Yaani ni pasua kichwa sana.

Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom