Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh hao wanasikilizia Mziiiki wako hao! Labda duu analalamika sanaDuu..sasa sijuwi nifanyaje..maana nilipokuwa nimepanga magomeni..nilikuwa akija DEMU wangu...ukitaka kutoka unakuta wake wapangaji mwenzangu...au mama mwenye nyumba wamekaa ukumbini wanatia story..au wamekaa tu barazani wakisubiri nitatoka SAA ngapi?.na kimara pia ndio balaa...wanachungulia madirishani kupitia kwny nyumbani ZAO...hii hatari...
Atakuwepo humu...That's great na hongereni. Ukimuona Msalimie
mimi siibiwi
Zimefikia [emoji14][emoji14]Eee nataka umfikishie salamu kuwa Nampa hi!
Hahahaahhahahaahahahahaha hio kwa 95% haiepukiki! Kwa jins watz tulivo wambea sidhaniIla mie kero kubwa ambayo inaniboa kwa majirani wa kwetu kupiga chambo ukiwa ndani sita kwa sita hili bana ni tatizo sugu mno sijapata kuona hata kama umezima taa wako radhi wasiklize sauti hata volume iwe chini vipi hawaondoki ndo kero ambayo imenishinda tabia
mkuu na wewe upo hapa SUA nini?kazini naishi kotaz umbali wa nyumba na nyumba mita mia moja unatenganishwa na msitu wa miti na mahindi. kukutana ni kazini na siku ya kusali jumuiya tu.
Hapa kwangu nooopVijana wanatrick.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haha eti ya3 unaitamani ubachela unatusumbua wengi kumbePole aseeh
Hiyo ya tatu nimetamani kuijua in deep. Ilikuaje? ?
Labda pengine..ila huku kimara nyumba Ina geti ..nikiingia nafunga geti...sio rahisi kusikia MIVUMO...ila shida yao sijuwi nini hasa wakishaona wanapata faida gani...vicheko vya nguvu nyuma yangu nikimsindikiza kituoni...kuna kipindi nikawa natumia mlango wa uwani...pia wakahamia upande wa uaniTeh hao wanasikilizia Mziiiki wako hao! Labda duu analalamika sana
Heshimu imani za wengine kaka. Religious tolerance ni very necessary, or you may sell that plot and buy far away. Ingawa itakuwa kukimbia tatizo na sio suruhu maana tunategemeana.Mm uwa ni kero kwa majirani wangu ninapo ishi ni karibu sana na msikiti ukizunguka nyuma tu ya nyumba msikiti upo na majirani wote ni waislam mm uwa na kerwa sana na adhana nilichofanya nimenunua redio nimeunga na spika za kwanzia asubuhi paka asubuhi ni kwaya na sauti ni ya mwisho wanatamani ata waniamishe ila wameshindwa kunakipindi nachoma mauchafu walikuja wakaweka kuruani wakaniambia nimechoma kuruani yao wakataka kuchoma nyumba wakashindwa wamenikomoa walikuja wakaiba redio yangu nipo najipanga ninunue nyingine mto uwe ule ule ikiwezekana niazishe na maombi ya usiku kwangu
wao wanaroho mbaya sana waliniibia redio yangu walitaka kuchoma nyumba wahame wao situkani mtu ni mziki wangu wa injili mwanzo mwisho ikifika mwenzi wa ramadhani uwa natamani kuhama kwasababu sala inaisha saa tano inaanza saa kumiHeshimu imani za wengine kaka. Religious tolerance ni very necessary, or you may sell that plot and buy far away. Ingawa itakuwa kukimbia tatizo na sio suruhu maana tunategemeana.
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
Mimi pia ni muhanga wa hao watu, katika ukoo wetu ni mchanganyiko wa waislamu na wakristo babu zetu walipokea dini zote 2, katika vikao vya kuamua mambo muhimu ya ukoo ni wabishi sana, tena hutuchukulia wote waislamu. Yaani ni pasua kichwa sana.wao wanaroho mbaya sana waliniibia redio yangu walitaka kuchoma nyumba wahame wao situkani mtu ni mziki wangu wa injili mwanzo mwisho ikifika mwenzi wa ramadhani uwa natamani kuhama kwasababu sala inaisha saa tano inaanza saa kumi