luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Shule za Kata zinafundisha sanaa pekee?Ipo kasumba kwa baadhi ya wakurugenzi wa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa.
Hii tabia ni ku-discourage walimu wa mchepuo wa sanaa, na ikumbukwe kila mchepuo una umuhimu wake.
Sasa endapo kama hao walimu wa sanaa wapo wa kutosha mbona bado shule za serikali hasa hasa hasa hizi za kata mbona bado vijana wanafeli?
Mleta mada atakuwa katoka Kijiji ambacho wilaya ina halmashauli Moja,Mleta mada hapa ni JF sio facebook.Ukiandika chapisho jiridhishe kuwa hutoboa watu.Wakurugenzi wa elimu wilaya ndio akuna nani?cheo au wadhifa huo umeanza lini?
Mnatuchosha,wengine sio wa level hizo ila mna shida ya komenti sijui!
Wewe ukiwafundisha watoto wetu watafeli sanaIpo kasumba kwa baadhi ya wakurugenzi wa elimu wilaya sekondari kujifanya wana shida zaidi na walimu wa sayansi kuliko wa mchepuo wa sanaa.