Kero walioipata abiri wanaotumia njia ya kilwa road

Kero walioipata abiri wanaotumia njia ya kilwa road

Mafeking

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
225
Reaction score
471
Makampuni ya mabasi yanafanya ruti za kusini kupitia kilwa road muwaonee huruma abiria wenu sio mnawachukuwa Dar es salaam mkiwaahidi kwamba Somanga panapitika alafu mnakuja kuwapaki Somanga masaa mengi na kusababisha usumbufu na kero kwa abiria zenu huu sio uungwana jaman.

Nawasilisha..
 
Back
Top Bottom