Scaramanga
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 490
- 704
Ndugu zangu TANROAD niwaombe sana mtuonee huruma na vigari vyetu na usalam pia. Kilichofanyika barabara ya Morogoro kwenda Dodoma mbele ya hotel ya Flomi karibu na kituo cha kupozea umeme hapo msamvu ni kero.
Zile rasta mlizoweka 6 zinaumiza magari na nimeshuhudia ajali mbili mfululizo. Tukumbuke hii ni barabara kubwa yanapita mabasi,malori na gari ndogo.
Hata kama ni kutaka kuhalalisha kivuko ndiyo rasta 6 tena nene hasa. Nimekuta gari ilifika ile kupunguza lahaula la nyuma likamgonga na si mara moja kesho yake tena ikatokea ajali kama hiyo.
Hizo tuta nani mmemuwekea? Ni bora mmgejenga hata daraja kama mwanza la chuma watu wavuke juu , maana hata wenzetu Kenya watatucheka high way rasta kibao da.