nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Roho mbaya,we utamuazima mtu gari kweli wewe.
Mimi nina chaja tatu ,moja naiacha home ,mbili natembea nazo.Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
Bora gari mkuu sio chajaAcha Roho mbaya,we utamuazima mtu gari kweli wewe.
Haha mkuu simu yako betri kimeo?Mimi nina chaja tatu ,moja naiacha home ,mbili natembea nazo.
Kivp?Tabia mbaya
Kero sanaSana na wala hawajishtukii. Ukinunua nyingine wanapita nayo pia
Na chaja vip kama hayupo alieazimaTz ni nchi ya kijamaa ,huwa tunaazimana mpk vijiko vya chakula asipokuwepo tunakula kwa mikono