Kero ya kuazimana chaja, unarudi home unakuta chaja haipo

Kero ya kuazimana chaja, unarudi home unakuta chaja haipo

Haha mkuu simu yako betri kimeo?
Hapana mkuu ,battery zipo fresh ,huwa sipendi simu ipungue chaji maana natumia sana whatsapp kuwasiliana na wateja ,nikitoka porini nikifika home nataka ziwe na chaji maana naitumia mpaka usiku wa saa saba au nane ndiyo napumzika.
 
Back
Top Bottom