Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

Una jina linaloendana na majina ya waislamu lkn wewe huujui uislamu. Hujasoma uislamu. Wewe sio muislamu.
Sifa moja kuu ya muislamu Ni MTU mwenye subira, MTU asiyekimbilia kutoa tusi.
Wewe huna subra
Ww mwenyew subra imekufikisha wapi
 
Mabasi ya kwenda Tanga mengi yanapiga nyimbo za kiarabu

Hii umesababisha watu wasio waumini wa kiarabu wamekuwa wakizikwepa hizo basi

Iko hivi maudhui ya kiislam hayasikiliziki kwasababu siku zote yanahimiza chuki
Ushahidi
 
Kwa hiyo kupiga kelele asubuhi saa Kumi na moja Nao ni udini Sio?
Au adhana na mziki Kwenye basi Kipi kina sauti kubwa?
Ungepigwa wa Diamond asingelalamika
Mdini NI yupi hapo?
Vichwa vyeupe kabisa😂
Tumeongelea kwenye mabasi
Hatujaongelea msikitini au kanisani elewa mada kwenye MABASI YAENDAYO MIKOANI
 
Niwe mpangaji wako halafu Nina miziki ndani WA maana utajua hujui napiga mpaka paa linatoka kutoka
Mkataba wako ukiisha ni basi mimi na wewe.....club zina sound proof, wewe ni nani??
 
Zaidi ya hadithi zenu za kale mnazopigiana na vitabu vyenu mlivyoletewa na mkoloni mweupe, hakuna any scientific evidence yeyote ya mtu anayeitwa Jesus christ aliwahi kuishi hii dunia au kufanya miujiza yeyote, mzungu aliwaharibu sana akili
 
Unataka wapige nyimbo za kigaidi? Au za kubaka watoto wa miaka 9?
 
Mtoa hoja acha kulalama humu,wewe ndiye mfalme,tumia pesa yako pale atakapo pata value yake,achana na hayo mabus,safiri na bus la chaguo lako,hakuna aliyekukamatia 9mm kichwani mwako na kukulazimisha usafiri na Sauli!safiri na Abood as far as unafurahi
 
Sasa nyie mna nyimbo shehe ..

Nyie si mna kaswida manyi..aha iti..
 
Wakaazi wa Dar wananishangaza sana.Eti mabus ya mikoani hivi Dar si mkoa !.

Unatakiwa kufahamu 76% ya idadi ya watu Tanzania ni Christian.Sasa zikipigwa nyimbo za injili kuna shida gani.
 
Kikawaida mabas yanayomilikiwa na Muslim,wafanyakazi wake kwa asilimia kubwa wanakuwa Muslim alafu wanaweka nyimbo za injili wenyewe apo napo tuseme nn?
 
Hamna udini hapo, kama unaona yana kusumbua mwambie dereva azime au chagua basi lingine. Bottom line mwenye basi ndio ana power, unaona usumbufu nunua usafiri wako
 
Mabasi ya kwenda Tanga mengi yanapiga nyimbo za kiarabu

Hii umesababisha watu wasio waumini wa kiarabu wamekuwa wakizikwepa hizo basi

Iko hivi maudhui ya kiislam hayasikiliziki kwasababu siku zote yanahimiza chuki
Kuna mwaka nimepanda tashrif kwenda tanga,aisee minyimbo haieleweki,filamu za chuki kwa wasio waislamu yaani tabu tupu.
 
Mbona azam tv imejaa ma movie ya kiislam na wala hatuna shida tujifunze kua wavumilivu
 
Braza si Upande Basi hizi Tashrif, Tahmeed, Shabiby n.k kuepuka izo kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…