Miaka 4 ya awamu ya 6 kila mahali record imevunjwa duniani,nalo hili ni mojawapo.Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi.
Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama.
Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni.
Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya.
Haya ni matokeo ya miundombinu mibovu ya kutiririsha maji taka, na mamlaka husika wala hazionyeshi kuchua hatua zozote kutatua hii changamoto.
Au wanasubiri yatokee majanga makubwa kama kipindupindu ndipo wachukue hatua?
Ona hali jinsi ilivyo, tena hapa ni sokoni.
View attachment 3286647View attachment 3286648View attachment 3286649View attachment 3286650View attachment 3286651View attachment 3286654
Ila Dar kumezidi uchafu...Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi.
Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama.
Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni.
Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya.
Haya ni matokeo ya miundombinu mibovu ya kutiririsha maji taka, na mamlaka husika wala hazionyeshi kuchua hatua zozote kutatua hii changamoto.
Au wanasubiri yatokee majanga makubwa kama kipindupindu ndipo wachukue hatua?
Ona hali jinsi ilivyo, tena hapa ni sokoni.
View attachment 3286647View attachment 3286648View attachment 3286649View attachment 3286650View attachment 3286651View attachment 3286654
Mahela yaliyowekezwaMmmmh kweli serikali imeshindwa kabisa kuweka miundombinu bora kwaajili ya hawa wajasiriamali wadogo.
Hapa mtu anasomesha ,analipa kodi anapoishi,hapohapo analipa ushuru wa hili soko lenye haya mazingira.
Halafu CAG anasema zaidi ya billion 222 zimetumika Kwa matumizi yasiyo na tija kmmk.
Serikali imejikita kunufaisha watu wachache ,
Kuna wasanii wanapewa pesa kwenye bahasha tunaona , wanachekesha na kuongea ujinga ujinga tu
Wanasafirishwa Dar to Dodoma malazi na chakula ni juu ya serikali,
Kuna wasanii wamepewa fursa ya kucheki maradhi ya moyo bure,camera zimewamulika na watu tumeona.
Foundation na vijitaasisi kibao vimeanzishwa Kwa kunufaisha watu wachache.
Mimi nasema kizazi kipo na kinakuja kitaleta Mapinduzi na watu hawataamini,
Siyo join the chain wala Tone tone watafanya haya.
ila kuna kundi hili ambalo ni kama AI likija Kwanza kila kitu linajua ndipo watu watatafuta pa kujificha na watakuwa washachelewa