Kero ya Muungano: Tanganyika yaanza kutawaliwa na Zanzibar? Wabunge hili hamulioni?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika.

On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar, inabidi waTanganyika hasa wabunge tuamke kiakili.

Mbaya zaidi ni matamshi ha mbunge toka Zanzibar dhidi ya Makamu wa Rais, Ndg Nchimbi.

Wabunge mtaamka lini?
Wazanzibari kwa wingi wanaajiriwa katika mambo yasiyo ya Muungano.
Kuna wakuu wa wilaya, kama yule Mkuu wa Wilaya Kilosa Shaka Hamdu Shaka.

Wakurugenzi wa Halmashauri wengi ni wazanzibari, kama Mkurugenzi wa Hlmashauri ya Manispaa Kinondoni, Hanifa Suleiman Hamza.

Hao wakazi wa Zanzibar wakipokea miongozo toka Serikali ya Zanzibar hilo linakuwaje?
Zanzibar sasa hivi imeanza kuwa dola kamili, sasa huu muingiliano wa watu wa dola nyingine kutawala Tanganyika , je hatuoni madhara yake?

Mifano niliyotoa ni hai, na nafasi hizo SI ZA MUUNGANO.
 
Watanganyika(machogo) ni mafala na hawana akili.
 
Wabunge waliopelekwa hapo bungeni kimchongo hawawezi kusaidia chochote hao ni sawa tu na matahira sio riziki labisa
 
Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika.

On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar, inabidi waTanganyika hasa wabunge tuamke kiakili.

Mbaya zaidi ni matamshi ha mbunge toka Zanzibar dhidi ya Makamu wa Rais, Ndg Nchimbi.

Wabunge mtaamka lini?
Wazanzibari kwa wingi wanaajiriwa katika mambo yasiyo ya Muungano.
Kuna wakuu wa wilaya, kama yule Mkuu wa Wilaya Kilosa Shaka Hamdu Shaka.

Wakurugenzi wa Halmashauri wengi ni wazanzibari, kama Mkurugenzi wa Hlmashauri ya Manispaa Kinondoni, Hanifa Suleiman Hamza.

Hao wakazi wa Zanzibar wakipokea miongozo toka Serikali ya Zanzibar hilo linakuwaje?
Zanzibar sasa hivi imeanza kuwa dola kamili, sasa huu muingiliano wa watu wa dola nyingine kutawala Tanganyika , je hatuoni madhara yake?

Mifano niliyotoa ni hai, na nafasi hizo SI ZA MUUNGANO.
Wanaajiriwa Kwa capacity ya Muungano tena Kwa kufuata mgawanyo wa asilimia 21%

Hapa Mzee umedanganya ,ni Aisha uvunje Muungano au uache kama ilivyo
 
Capacity ya muungano inavunja nguvu ya Article of Union?
Legitimacy hiyo inatoa wapi kwenye katiba na sheria zetu?
Nitajie vifungu.
 
Wanaajiriwa Kwa capacity ya Muungano tena Kwa kufuata mgawanyo wa asilimia 21%

Hapa Mzee umedanganya ,ni Aisha uvunje Muungano au uache kama ilivyo
Ratio ya kuajiri wazanzibsri ambao ni 1.8m against wa Tanganyika 60m , hata ukiwa na elimu ya cheti cha madrasa unaona ni ujinga mtupu.
21% inatoka wapi.
 
Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika.

On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar, inabidi waTanganyika hasa wabunge tuamke kiakili.

Mbaya zaidi ni matamshi ha mbunge toka Zanzibar dhidi ya Makamu wa Rais, Ndg Nchimbi.

Wabunge mtaamka lini?
Wazanzibari kwa wingi wanaajiriwa katika mambo yasiyo ya Muungano.
Kuna wakuu wa wilaya, kama yule Mkuu wa Wilaya Kilosa Shaka Hamdu Shaka.

Wakurugenzi wa Halmashauri wengi ni wazanzibari, kama Mkurugenzi wa Hlmashauri ya Manispaa Kinondoni, Hanifa Suleiman Hamza.

Hao wakazi wa Zanzibar wakipokea miongozo toka Serikali ya Zanzibar hilo linakuwaje?
Zanzibar sasa hivi imeanza kuwa dola kamili, sasa huu muingiliano wa watu wa dola nyingine kutawala Tanganyika , je hatuoni madhara yake?

Mifano niliyotoa ni hai, na nafasi hizo SI ZA MUUNGANO.
Mamamiko ya watangayika sasa yamekuwa mengi.
Lidubu la CCM limefunika masikio utafikiri hawaoni wala hawasikii!
 
Back
Top Bottom