Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Joto linasukwa makusudiJoto linazidi kuwa kali sana
Watanganyika(machogo) ni mafala na hawana akili.Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika.
On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar, inabidi waTanganyika hasa wabunge tuamke kiakili.
Mbaya zaidi ni matamshi ha mbunge toka Zanzibar dhidi ya Makamu wa Rais, Ndg Nchimbi.
Wabunge mtaamka lini?
Wazanzibari kwa wingi wanaajiriwa katika mambo yasiyo ya Muungano.
Kuna wakuu wa wilaya, kama yule Mkuu wa Wilaya Kilosa Shaka Hamdu Shaka.
Wakurugenzi wa Halmashauri wengi ni wazanzibari, kama Mkurugenzi wa Hlmashauri ya Manispaa Kinondoni, Hanifa Suleiman Hamza.
Hao wakazi wa Zanzibar wakipokea miongozo toka Serikali ya Zanzibar hilo linakuwaje?
Zanzibar sasa hivi imeanza kuwa dola kamili, sasa huu muingiliano wa watu wa dola nyingine kutawala Tanganyika , je hatuoni madhara yake?
Mifano niliyotoa ni hai, na nafasi hizo SI ZA MUUNGANO.
Wanaajiriwa Kwa capacity ya Muungano tena Kwa kufuata mgawanyo wa asilimia 21%Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila Mzanzibari anajifunza kunyoa Tanganyika, na hili ni kero inyoweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mustakabali wa Tanganyika.
On a serious note, kwa matamshi tuliyosikia kutoka kwa Mawaziri ndani ya serikali ya Zanzibar, inabidi waTanganyika hasa wabunge tuamke kiakili.
Mbaya zaidi ni matamshi ha mbunge toka Zanzibar dhidi ya Makamu wa Rais, Ndg Nchimbi.
Wabunge mtaamka lini?
Wazanzibari kwa wingi wanaajiriwa katika mambo yasiyo ya Muungano.
Kuna wakuu wa wilaya, kama yule Mkuu wa Wilaya Kilosa Shaka Hamdu Shaka.
Wakurugenzi wa Halmashauri wengi ni wazanzibari, kama Mkurugenzi wa Hlmashauri ya Manispaa Kinondoni, Hanifa Suleiman Hamza.
Hao wakazi wa Zanzibar wakipokea miongozo toka Serikali ya Zanzibar hilo linakuwaje?
Zanzibar sasa hivi imeanza kuwa dola kamili, sasa huu muingiliano wa watu wa dola nyingine kutawala Tanganyika , je hatuoni madhara yake?
Mifano niliyotoa ni hai, na nafasi hizo SI ZA MUUNGANO.
Capacity ya muungano inavunja nguvu ya Article of Union?Wanaajiriwa Kwa capacity ya Muungano tena Kwa kufuata mgawanyo wa asilimia 21%
Hapa Mzee umedanganya ,ni Aisha uvunje Muungano au uache kama ilivyo
Ratio ya kuajiri wazanzibsri ambao ni 1.8m against wa Tanganyika 60m , hata ukiwa na elimu ya cheti cha madrasa unaona ni ujinga mtupu.Wanaajiriwa Kwa capacity ya Muungano tena Kwa kufuata mgawanyo wa asilimia 21%
Hapa Mzee umedanganya ,ni Aisha uvunje Muungano au uache kama ilivyo
Hilo halina ubishi, Tanganyika forever.Sisi wenyewe tuache kutumia Tanzania tuanze kujiita wa Tanganyika itasound vizuri. Kama wao wanavyojitq wazanzibari.
Let go with TANGANYIKA.
Mamamiko ya watangayika sasa yamekuwa mengi.Tanganyika ndani ya Tanzania sasa imeshakuwa kichwa cha mwenda wazimu.