KERO Kero ya mziki wa Bar ya Kisuma 5G Temeke mwisho

KERO Kero ya mziki wa Bar ya Kisuma 5G Temeke mwisho

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hivi mamlaka husika zilikwenda likizo au ilikuwa ni agizo la muda mfupi au tuseme hawa Kisuma 5G wapo juu ya sheria?

Hii Bar imekuwa kero kwa wananchi wanaoishi jirani kwani kelele za mziki hazivumiliki usiku kucha.

Tunaomba mamlaka husika walitazame hili.
 
Kero za miziki zipo mji mzima, kila kona ni midundo tu usiku kucha.
 
Fanya kuhama , hizo ni biashara za watu kwamba kero mpaka unashindwa kula na kulala?

Fanya mambo yako huwezi kumshtaki mtu kwa vile anapiga kweny eneo lake. Ninapokaa hata waweke mziki dirishani nikifunga madirisha na mlango watajua wenyewe.
 
Hii temeke ya butiama?



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom